HARUSI ZA NAIJAMatron


Kila siku nasema kupiga picha sio lazima Baharini,
maarusi wanakwenda coco beach mpaka kumepigwa marufuku!!

Wakiingia ukumbini

Ukumbi ulivyopamba
Cake mmmh! Delious
Cake ikikatwa na firewalks pembeni, this is good idea!!
Bi harusi na mashosti!!

Post a Comment

3 Comments

 1. kupigwa marufuku beach hiyo ni another problem na wala sioni kama ni sawa cause that is a public beach kila mtu ana haki ya kuenda na kufanya atakalo ili mradi tu asivungje sheria au kuharibu mazingira,kwa suala la picha of course ppl should at least try to be creative and find different cernarios for the special occasion though wengine beach is a must kutokana na imani zao, wengine pia huamini huwa beach ndio kimbilio lao wakati wa shida na wakati wa raha sana hiyo ni imani. sasa sio kila aendae beach wakati wa harusi huenda kwa picha nop.

  ReplyDelete
 2. Hongera sana maharusi wetu jamani siku hizi mambo ubunifu. Nawatakia kila la kheri mlio shiriki na kufanikisha harusi hii.

  Jamani cake imenitamanisha nampa hongore mtayarishaji wa cake hii.

  ReplyDelete
 3. thanks for every thing y'r doing just wonderful to see. LOVE JB.

  ReplyDelete