KITCHEN PARTY - MARLYNE BEN


BRIDE     - MARLYNE BEN
VENUE   - POLICE OFFICERS MESS
COLOR  - DEEP BLUE & GOLD
SOMO    - FARIDA
THEME  - MANENO YA KINA MAMA
MC          - MARCELINA-0754 498 797

Rangi ilikuwa Gold na Blue basi lazima twende na rangi zetu

Bi harusi mtarajiwa kushoto - Marylyne
MC - Marcelina ni mnzuri sana hana madoido
yasiokuwa na umuhimu, anapatikana katika no hii 0754- 498 797

Dk. Mwele Malechela na Fatmah Simba

Zaintun Gao-Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi


Mama Salma Kikwete

Mke wa Mbunge wa Arusha Felix Mrema


Asia Khamsin - FABAK FASHIONS

Rose RupiaAshura Kawawa
Bi JohaMrs Mkullo - Mke wa Waziri Mustapha Mkullo

Marlyne na mamaFatmah Simba na Fatmah KimarioMariam Siwa

Mama-Vero wa Vero Saloon Kinondoni
anatengeza nywele kwa kwenda mbele


Hellen na Dk. Mwele Malechela, Kaa na waridi unukie waridi..lol

Mama Salma Kikwete na Rose RupiaDada Joha ukooooo juuuuuuuuuuu ile mbaya!!!, si basi tu, si basi tuuuuuu!!
Joha Simba na Rose Rupia

Diva -Devota alikuwepo, Diva naye somo yake alikuwa ni Farida..lolMange akiongea na aunties zake..lol

Misky wa VIRAGO na friend

Fatmah Simba na marafiki

Suzy na Bi harusi mtarajiwa, suzy is a good friend of meTeddy Mapunda wa Serengeti Serengeti.....

Da Joha na Aunty Hidaya Kazirahabi, mnakumbaka aunty Hidaya kwenye KP ya mwanae Irene, tilikunywa mpaka asubuhi
Flowers za kila aina

Kulia:Somo Farida anakuja kwa kasi, akikufunda mume akuachi shosti..

Bi Joha na Asia Khamsin

Flowers

Champaghe
Joketi akifungua champhange, umecheki swaga za Joketi kichwani??Flowers tofauti zikifungua champaghe

Bi harusi na matron - cheeeeeeers!!!

Cheers na mama...lolCheers na bibi...lol


Cheers na huyo dada ni upande
wa kiume sikuweza kujua yeye ni nani?

Zawadi


Zawadi ya mama Salma Kikwete

Mama Salma akimkabidhi zawadi bi harusi na kumpa nasaha
kwa niaba ya wake za viongozi waliokuwepo hapo ukumbini


Zawadi hizi zililetwa na marafiki

 
Hapa Marlyne akitazama BIG SCREEN kwa furaha akiangalia zawadi zake, kwa ufupi zawadi zilizolewa na mama mzazi azikuletwa ukumbini, tuonyeshwa kwenye screen, jamani zawadi zilikuwa nzuri saana na za kutosheleza nyumba nzima kila kona

Mama alimzawadia mwanae Bible, kama silaha yake
 kwani HAKUNA  ZAIDI MUNGU
Ma' mdogo akicheza kwa furaha kwenda kumtunza mwanawe "WASHING MACHINE" hataki mwanae kucha zivunjike kwa kufua
Suprise


Tulikuwa na suprise kutoka kwa Rukia Ramadhani, all the way from Zanzibar, akatuimbia unaitwaje tena niko ndani ya villa..... lol
Somo akienda Kutunza...!!!

Kutunza


Jamani ni msimbazi tu ndio ulikuwa na chati....lol 

Post a Comment

6 Comments

 1. MRS.SHAMIM HUSSEINJune 25, 2010 at 12:46 AM

  Assalam leykum kithcen party ilipendeza sana na bi barusi mtarajiwa alipendeza kweli mwenyezi mungu amjaalie ndoa yenye baraka,pia nimependa vitambaa veny je dada mashughuli nitavipataje kwani ninakithcen paty mwezi qa kumi sare tumepanga blue kwa gold msaada wako.
  MRS. SHAMIM HUSSEIN

  ReplyDelete
 2. Waaleykum Muslam, Shamimu nimekutumia msg yenye information zote kwenye inbox yako ya yahoo

  asante

  ReplyDelete
 3. ilipendeza sana mupenzi mie nawatakia ndoa njema yenye baraka tele mpenz. Sasa na mie ni mtarjiwa shosty nataka namba ya somo farida waweza nipaili nijue bei zake mpenzi. Dada K

  ReplyDelete
 4. Asante mdau wangu kwa kuingia kwenye blog na kutoa comments, mimi ninawaheshimu sana, kama unamtaka somo Farida tuma no yako ya simu kwenye email ya blog hii mashughuli@gmail.com, halafu mimi nitampatia Farida then atakupigia mpenzi, wala usiwe na wasiwasi hakijaaribika kitu somo utampata tu. Mashughuli utualike na sisi tuje kurusha live shughuli yako yote.

  ReplyDelete
 5. shost uko juu..na ulinukia waridi kweli, congrats gelfrend..!!

  Ma' G

  ReplyDelete
 6. Asante Mama G, mwenzangu tumechoka kunukia mavumba kila siku, yaaani mnanurahisha sana the way you people supporting me thanks guys

  hellen

  ReplyDelete