HAPPY BIRTHDAY ASIA IDAROUS KHAMSIN

Jana ilikuwa siku ya kuzaliwa ya Celebrity Asia Khamsin, one of the top Fashion Designer in Tanzania & Africa na sasa anafahamika hata hata nchi za America na Ulaya, ilifanyika nyumbani lounge...chungulia picha
HAPPY BIRTHDAY SIS WE BOTH LOVE YOU..!!!

Birthday Gal-New Born Asia Idarous Khamsin, 52 years still going strong, Mwenyezi Mungu akujaalie umri mrefu na afya tele!!!

  
 Asia, mimi namjua sana kwa mapenzi aliyonayo, raha yake angemlisha kila mtu kijpande cha cake, Amina Plummer ulinogaje mdogo wangu?? nakuona kwa mbaliii natamani nikuzoom..!!
 Asia umenoga ile mbaya black & White??? safi sana...!!!  

Wakali GrooveBack Nite at Nyumbani Lounge chini ya Mkali Peter Moe.
  

Nyuso
Picha thanks MICHUZI-MATUKIO

Post a Comment

0 Comments