MANZELINE SHOPPERS PLAZA MIKOCHENI

Manzelline – Shoppers Plaza Branch, Mikocheni

Ni wale wale Manzelline wakali wa vitu original, sasa wadau nimewaletea picha za mzigo ulioko duka la Manzelline Shoppers Plaza Mikocheni, raha yake ni kila duka lina vitu tofauti yaani ni kwamba kama umewahi kuwatembela kule Quality Centre Mall basi huna kila sababu ya kwenda Manzelline Shoppers Plaza, waswahili tunasema maneno mengi hayavunji mfupa , ebu piga chabo uone uhalisia wa vitu!!!!

     Wanapatikana:: Shoppers Plaza Mall

Wasiliana nao   +255712110808+255759431667+255767369936

Manzelline – The Proof of Quality
High Quality Clutch


Wallet
Ukoo juu Pete za ukweli

Saa, umemuona mnyaaaama!!

Bangles

Rusha roho zenye asili ya India lakini hazipauki unanunua na gurantii!!!!


Mazagazaga ya kunukia, si unajua ile unaingia sehemu halafu unatambulisha harufu fulani hivi nenda Manzellin Shoppers!!!

Original Handbag za Madesigner Tofauti PRADA
LVCHANEL


Viatu


Side handbag
stay tuned vitu vungi vyakujia

Post a Comment

3 Comments

  1. Si mchezo Manzelline wako juuuu!

    ReplyDelete
  2. Tatizo mbona hawaweki bei kama U.S.A sasa tukitaka kununua itakuwaje?

    ReplyDelete
  3. wekeni bai ili sisi wa chini tujikusanye ukija unakuja kamli au uaonaje?

    ReplyDelete