MARIAM RUPEMBECHO SEND OFF PARTY

Bride  :: Mariam Rupembecho
Venue:: Police Officers Mess-Oysterbay
Colour:: Light Blue

Pendeza eeh!!!

CakeShadia Mgawe, hayo madini nianzie wapi??? mbona mtihani??
 Mama mgawe & MC Kiatu
  
Entertainment
Melody Live...!!!, umemuona bi Hafua??


Mijizawadi, maanake full house, hakuna cha ziada MariamMama Mgawe akikabidhi zawadi zake...!!! za ukwee si unajua ni shosti wake Salma Mntambo??? sasa mambo kama yale ya Salma mntambo...!!!
Lala kwenye kitanda shosti...!!

Mwanamke unatakiwa uwe msanii yaani kila siku unaibuka na jipya kwa mumeo, umemuona bi Mariam akimpelekea mchumba wake zawadi supriseee!!!!

Mkamnda wa ukweli...!!
jisaaa hiloooo!!


NYUSO'sShadia Mgawe na Halima ng'ari ng'ari


  


 

Swaga's

Post a Comment

10 Comments

 1. Duu, huyo kweli shost wake Salma Mntambo aka Injini ya Jiji. Mana hiyo mi dhahabu si mchezo, mashallah alipendeza sana huyo mama..Alafu hiyo Sofa si mchezo katika zawadi zote hiyo ndo ya ukweeee...lol!

  ReplyDelete
 2. samahani naomba kuuliza, huyo bi harusi ni mtu mzima au binti? haeleweki usoni..halafu hivi ni lazima kupeleka mazawadi yooote hayo ukumbini? me naona sio lazima, au ni kwa ajili ya picha? kazi ipo, hatutakaa tubadilike!!

  ReplyDelete
 3. MC KIATU TUNAKUMISS NA PIA TUNAKUPENDA SANAAAAAAAAA UNATUPA RAHA BIBI WEEEEE, NI SISI WANAO WA ARUSHA KWA KWELI KPARTY LAZMA TUKUITE ARUSHA POWA USIKONDE LOVE YOU WE NIWA UKWEE

  ReplyDelete
 4. wewe anonymous wa pili eti unauliza bi harusi ni mtu mzima??? kwani watun wazima hawaolewi?? halafu kila mtuna mapenzi ya kusherekea sherehe ya mwanaye ambaye ameolewa akaona fahari kumtunza bintiye vitu akiamua kuleta ukumbini ni mapenzi yake, jamani sio lazima vitu vyote vifanane wako wanaopenda na wasiopenda, wewe kama hupendi subiri ya kwako!!! mnataka blog zote zifanane halafu itakuwaje???

  ReplyDelete
 5. MC KIATU MAMA WA KIBAJAJI UNATURUSHA ROHO WATU WA ARUSHA SANA TUNAKUPENDA WE NI MKALI BWANA,LAZIMA TUKUITE ARUSHA KILA WAKATI KWA DONGE NONO KWETU SIO KITU PESA MAKARATASI CHEZEA PESA IKUZOEE WERA WERA MC KIATU HOYEEEEEEEE

  ReplyDelete
 6. wera wera mc Kiatu karibi A - town jiji la Midolari watu wa arusha wanakufagilia sana jiandae kuna Kparty inakuja sio mwingine tunamtaka bali wewe wewe Mc Kiatu hatuna mwingine halooooooo

  ReplyDelete
 7. uongo mbaya bi harusi kapendeza sana nguo ila karembwa saaana sasa kawa kama kinyago mana kope zimezidi poda mbaya shadow machoni mmhh kusema kweli kazidisha Ila Kila heri ukawe mke mwema mpenzi

  ReplyDelete
 8. Nice pictures ila sijapenda huyo mpambe wako kanuna sana

  ReplyDelete
 9. HONGERA MAM MISS U

  ReplyDelete
 10. Mnatisha bonge la sendof

  ReplyDelete