X-MAS MIMI NA WATOTO WANGU...!!!!


Jasmine & Tonna
 Jaffar akiendesha gari
 Teta & Asia, umemuona teta kanaogopa kweli kweli

Mangi angalia usije ukafyatua kikwelikweli
Junior
 eBaada ya kucheza sana njaa zikauma so chips & chicken from sammy's Food ndani ya Quality Center Mall
shosti ebu niangalie kama imefutika??


 Hakuna kuongea mpaka kushiba kwanza
 Zuwena dada yake Teta
Dada yangu mpenzi na Joseph kijana wake
 Jaffar, akijachana....!

Red Carpet
Baby Asia
 
Little Teta
Tonna
 Jasmine

 Mashostito's

Hapa sasa ndio Zuwena alipokoma maana Teta alitaka apande kila mara huku kabebwa....!!!
 Umemuona baby Asia alivyomshikilia mama chake???
 Mie huyo na wanangu baada ya kuwapa treat on 26th dec 2011, Asante Mungu nakushukuru kwa hichi ulichonipa...kwani watoto wangu wamefurahi saaaaaana!!!
Picha ya ziada....!!wmefurahi eeh!!

Post a Comment

1 Comments

  1. Mungu amekujaalia watoto warembo hongera sana "Tona na Teta" Kila lakheri mwaka ujao utufurahishe kama huu unaoisha

    ReplyDelete