40 YA MAMA YETU SALIMA IDD SIMBA





























 














 Rukia Masasi & Margreh Simba









  






Nyawile

Post a Comment

5 Comments

 1. pole kwa msiba da mashughuli,picha zimenikumbusha nyumbani ,shekh abbas watoto wa mjini mwanaidi,salma,duu kiufupi blog yako naipenda sana da mashughuli kwa picha za kitaani [home]

  ReplyDelete
 2. Da mashughuli poleni na msiba. natoka nje ya topic utanisamehe picha ya kwanza baba wa kati ameshaoa? nimempenda picha nimeiprint nimeiweka chumbani, kama hajaoa da mashughuli tafadhali nijulishe

  ReplyDelete
 3. Yaani nimekumbuka mika ya 80s maeneo ya Tandamti na Livingstone. Jamani Mashughuli uko juu.

  ReplyDelete
 4. we uliemuona mtu ukamtammani lazima utakua mgonjwa wa akili

  ReplyDelete
 5. Poleni sana, kwakusema kweli Simba family ni family yangu, dada jokha ni kama mama yangu, nimefurahi kuwaona wadogo zangu, kama Jafari na wengine wengi tu, vilevile nimefurahi sana kumuona general simba na mzee abdallah. Mbona sikumwona mwajuma?

  ReplyDelete