Back 2 Naija - Shughuli ni Shughuli - Mnada wa Cake kwa Ajili ya Kuchangia Elimu

Mimi naringia sana uafrika wangu na ndio maana ninapoona kitu kinzuri kimefanywa na muafrika uwa napenda kukitangaza kwa njia yoyote ile, Sasa huu ni mnada wa cake ambao ulifanyika Naigeria, City of Calabar kwa ajili ya kuchangia Elimu, ulitayarishwa na mtengeneza keki anaitwa BlueBerry Cakes!  kama tujuavyo cake ni kikielelezo muhimu sana kwenye shughuli zetu za kila siku, kwani kweny kila shughuli lazima keki iwepo angalia picha zifuatazo:-

 Wedding Cake
 Engagement Ring Cake
 Golden-splendor-cake
 ice-cream-cake
 Golden-splendor-cake
 oriental-theme-cake
old-romance 
Red-Diva cake, hii nispecial kwa DIVAS
pink-buster-cake 
 Traditional cake, hizi ndio wanazitumia kwenye shughuli zao ka kiutamaduni au tradional wedding, kwetu sisi unaweza kuweka kwenye "Kitchen Party", kwangu mimi kitchen party ni shughuli  ambayo iwe ni ya kiutamaduni lakini in a modern style
 I Do Cake

NYUSO's RED CARPET


Director of Blueberry Cakes

Post a Comment

2 Comments

  1. jaman nimedata na hzo,wedding cake,2 Golden-splendor-cake,ice-cream-cake,Red-Diva cake. hiv hapa zapatikana wapi?
    jassy

    ReplyDelete
  2. wooh ilove tha cake ,n baby girl she is so cute jamani watoto wangu walipo mwona eti mom can u buy that baby aaaaaaah fun wamempenda kweli thankx
    asante kwa picha bi mashughuli uko juu

    ReplyDelete