BACK 2 NAIJA WEDDING

 Swaga kama hizi hapa Bongo zinapatikana Johar Classic Boutique & Saloon, design tofauti wasiliana nao +255715282209, +255783646414 & +255777608060
 Mimi uwa napenda hapa kwenye viatu, kwani bi harusi sio lazima avae kiatu cheupe, anaweza vaa kiatu rangi ya harusi yake!!!!
 Angalieni hii cake halafu mnitumie email umeelewa nini?

 Je maharusi wetu tunapiga picha kama hizi? sio kulishana cake hata kunyweshana champaign katika pozi

 siku hizi hapatushi ukizubaa hupati picha za kuleta mashughuli
 Hairdos!!

 Leci Sare

Post a Comment

8 Comments

 1. It means till death do us apart, and the visitors are witnesses to our union.

  ReplyDelete
 2. wow....!wat a lvly wedding, me lv it alot,bt that cake stil cjaielewa kama jeneza flani nimeogopaje!all in al naipenda hii blog na mm penda ww.

  Jassy

  ReplyDelete
 3. The wedding was wow....!bt that ceke mamii cjailewa kabisaa,kama jeneza flan hiv?nimeogopaje mie!bt all in all naipenda sana hii blog,and mm penda sana ww

  Jassy

  ReplyDelete
 4. I don't understand the meaning of having (dirty)red carpet at a weddind, I find it ugly.

  ReplyDelete
 5. mdau wa kwanza may be right but otherwise cake kama hii no way

  ReplyDelete
 6. Hellen!!

  Hongera kwa kazi nzuri. Kuhusu hiyo cake kwa uwelewa wangu mdogo, ni kwamba ni stage 3 za maisha ya binadamu, chini amezaliwa kati ameoa au kuolewa na mwisho ni kifo ndio maana kuna kitu kama kaburi kama sikosei.

  Kazi Njema

  ReplyDelete
 7. hahahaaa...!anonymous january 19,1:19pm,umenifurahisha.

  jassy

  ReplyDelete
 8. jamaani lazima tukubali hawa wenzetu wako juu, wao wameanza ustaarabu zamani kwa hiyo na sis tujitahidi tufikie ujuzi wao na ubunifu

  ReplyDelete