Coming Soon - Johar Classic Boutique & Saloon

Haya wadau wangu nawaletea kijiwe kipya kabisa si wengine bali ni Johar Classic Boutique & Saloon Waliopo Kariakoo Mahiwa Street, ni wauzaji na wakodishaji wa nguo za harusi, Aqdi na mazagazaga yote ya bi harusi kwenye ndoa au reception, pia ni wapakaji hina michoro yote mpaka ile ya kisudani , kazi zao ni nyingi sana na za ukwee'e. Tutawaletea moja baada ya nyingine kila siku, kuhusu uso wako hapo ndio tatizo la chunusi na uso wako kuwa clear kabisa, picha nyingi zinakujia mdau kaa hapo hapo!!!
Wasiliana nao kupitia no hizi za simu: +255715282209, +255783646414 & +255777608060

Saloon
Boutique

Post a Comment

0 Comments