FAMILIA YA EMANUEL MAKUBO, WATOA POLE KWA FAMILIA YA SIMBA, KWA KUFIWA NA MAMA YAO MZAZI

Wageni wakiingia nyumbani
Makunda & Fatmah

Chakula kilikuja katika style ya kimila, hivi ndivyo wafanyavyo Wahaya wakienda kutoa pole kwa wafiwa

 Matoke yalipikwa kinyumbani, matamu sana!!!!
 Dada Agnes Mtigazi, asante sana kwa upendo ulionyesha!!!!
 Mzee Makubo akitoa neno la kuwapa pole wafiwa, pia aligusia pia katka Biblia tunahimizwa upendo na rafiki mwisho uwa ndugu!!!!!
Ret. Brigadier Simba akitoa shukurani kwa niaba ya familia
 
Japhar & Makunda


Msheruzi Makubo, Lydia Makubo & Fatmah Simba
Samira & Sally
 Bi Masha
 Alhanisa Sleyum...... malizia

 Bi Saada Brazak
  
 La' Familia
 Wazee wakiongea
  Tindwa hair style
Wageni wetu wakitutayarishia chakula

MADINI

Post a Comment

1 Comments

  1. NABONA OMUKULU TA KIKWESI NASHEMELELWA MUNO

    ReplyDelete