FAMILIA YA MADENGE & MARAFIKI YAMPA SHARRIFA BESENI LA UKWEE'E

Naomba niongee kuduchu hii sio Send Off  ni Beseni, watu weny fweza zao alaa!!!!
 The one & only Jamila Kitimtim, MC akumuuingiza mama Moody! 
 Mama akitamba! amenogaje?? Dish Dash la ukwee, Madini ya kumwaga, hina imependaje???

 Baada ya mama kuingia. Sharifa aillingizwa na wifiye Husna!! mambo pambe ile mbaya!
 Sehemu ya Shariffa

   Tulikuwa na Live Band - Jahazi Kolombwe Modern Taarab


SHARRIFA MADENGE, mke halali wa Moody Madenge, mama yake Baby Salim, pendeza ile mbaya kawiva kweli kweli!!
 Hina je???
Rusha Roho!!
 Mashostito, shurti kwa sare sare!!! utawajuaje??
Mnakubuka huyu bi harusi, anarsuha roho blaaaa, hata kwenye kitchen party yake aliingia na mikogo ile mbaya tena nilileta vedio!

Tunza!!!!
Alianza kutunza Mama Moody, bibi yeake Salim, kamtunza mkwewe Million 3 kwa kimletea mjukuu!!

Shangazi Husna akitunzwa na mashostito!


Mama mzazi wa Shariffa naye alimtunza mwanaye kwa kumletea mjukuu!!!

 Sharrifa adabu na heshima, shurti kwa magoti...!!!

 Asante mama!!
Shariffa na mama zake!!! - inaoendeza eeh!!

sasa wifiye sharrifa, Husna Madenge anaingia kwa speed kubwaaa! mfano wake ni ya Injini ya Jiji!!
 zisome kwa makini hizo zawadi! zimekwenda shule!!, Baby Salim atadekaje!!!
 Shosti huyu akikurusha roho, lazima ukimbie eee bwana wee!!

 Kabati la nguo ndani fullllllllllll!!!!
mashostito wa Husna umewaona???
 Husna na mashostito wake pambe eeh!!!
 Sharrifa na mijizawadi yake!!

TANTI BOY - The Super Star, na crew yake nzima tupa kule million moja kwa sharrifa, jamani Moody Madenge ni mtoto wa kaka yake Tanti Boy upo hapo!!!

Si unajua vurugu za Tanto Boy???
Mashostito wa Tanti wakikata mauno!!!! mambo ya somo
 Hadija zawadi yake kwa wifiye
Zawadi ya Tabia kwa wifiye sharrifa


NYUSO's 


RED CARPET
Somo-Sittu Mwazi pendeza ndani ya 
Nanah

Swaga

TUJIKUMBUSHE HAPO NYUMA...!!!
tuko pamoja???

Post a Comment

6 Comments

 1. Mama Salim penda sn style yako ya nywele.

  J.

  ReplyDelete
 2. kweli mambo ya pesa,si mchezo! ila ingependeza zaidi kama mtoto angefanyiwa dua tu ili mwenyezimungu amfanye awe kizazi chema. All in all, mungu awakuzie inshaallah.

  ReplyDelete
  Replies
  1. NA INGEPENDEZA NA MTOTO AKAWEPO.

   Delete
 3. Watu wanapenda shughuli jamani au hizo pesa za wawasha? Si mkawape watoto yatima?
  Au mumfungulie mtoto akaunti? Mambo makuubwa siku mbili ndoa haipo.

  ReplyDelete
 4. We anonymous unayesema watu wanapenda shughuli nakushangaa kama wewe hupendi basi usiingie hata kwenye blogu zinazohusu shughuli kwa sbb utaumia sana roho, kila mtu ana uhuru kuishi maisha ayatakayo kama wewe unasiadia yatima unajuaje na hawa pia wanafanya hivyo hivyo sema hawajotolewa kwenye blog?? na ndio maana hujui??? unajuaje pia wao wana account bank kwa ajili ya wanao? nyie ndio wale mnaojifanya mnajua kulea, kulea hakuna ujanja ni kumuomba ALLAH akusaidie lakini wewe kama binadam si mjanja hata kidogo, ndoa kuvunjika si jambo la ajaabu na kama umeona hapo chini hawa walioana na blog hii ikawatoa sasa mungu amewajaaliwa ndio maana wanafurai, muacha asili mtumwa, mbona wakifanya baby shower amsemi??? au beseni ndio mnaona la kiswazi lazima turingie utamadfuni wetu. NAKUSHAURI KAMA HUPENDI SHUGHULI BASI USIINGIE BLOG ZINAZORUSHA SHUGHULI MAANA HUTAJINYONGA KAMA HUNA HUNA TU POLE!!!!

  ReplyDelete
 5. Ongereni family ya madenge shughuli mmeiweza anayesema mnapenda shughuli,ana ela huyo,domo nyumba ya maneno,mrs martin

  ReplyDelete