HUSNA KITCHEN PARTY

VENDOR LIST:
BRIDE::HUSNA A. MUSA
VENUE::VIJANA SICIAL HALL - KINONDONI
COLOR::YELLOW & GREEN, PINK & WHITE
MC::DALILA JAGAR -
CATERER::
TALMA CATERER
DECORATION::
MUSIC::CLOUDS MEDIA
DESGNIER::TALLY KASSIM
CAKE::BETTYKama kawaida, bi harusia lazima uwe tofauti na waalikwa mburuzo lazima uweko, Designer Tally uko juu!!
Hair Style imetulia, jamani Husna ni mfanyakazi wa Clouds Media, sasa kama tuwajuavyo Clouds watoto wa mjini kitchen party ilinogaje, mastaa wa taarabu kibao!! chezea Clouds wewe
Husna - Pendeza!!!
  
MC- Mama Dalila Jagar, MC Mkongwe mambo yake ya kiujuzi zaidi!!!

Manjonjo ya MC, si uanjua lazima unogeshe!!

Da....Hu akitoa utmbulisho!!!

Maneno ya akiba...!!!!

Mwanaharakati Sadaka Gandhi-Muelimishaji wa maswali mbalimbali wa jamii yakiwemo ya kinamama akimpa Husna maneno mawil, matatu ya kumsaidia kuitunza nyumba yake na mumewe,mimi nilipenda sana kwani ilikuwa ni ukweli na uwazi na fupi!!!!

Husna akisikiliza kwa makini...!!

Decoration!!!!
Cake 

 Da...Hu! alikataa keki yake na kuwalisha wafuatoa kama asante yake kwao!!
 Mama mzazi


 Mariam Mntambo kwa niaba ya Injini ya Jiji!!!
 Wifis
 Somo!
 Asante Gea!! mimi penda sana wewe!!!
 Asante dada Sadaka Mungu akujaalie kila kheri inshallah!!


 Jitu Bahari akienda mtunza Husna......tumia pesa ikuzoee
Husna akikaa kwenye meza ya chakula aliyopewa na dada yake!!!!


Suprise nyingine ndani ya nyumba!!!!!!!!!!!!!!!!
Mariamu Hamis  frm T.O.T, a.k.a Paka Mapepe
 

 We umemuona mama wa Talma Caterer rusha roho!!!
Mum Fashion akeinda tunza!!!
Wana wa Clouds Media wakimpa zawadi mwenzao da....Hu!!!!!!

Gea akirusha roho!!!!

 Clouds Media Crew hapa ilkuwa hakuna wa anayejua mbele, asiyejua nyuma wote mwendo mmoja!

 Tally Kassim akimutunza Husna

Somo - Ashura wa ukwee'e a.k.a au Mama Zuwena, mwali wa Salma Mntambo!! akienda mtumna mwali wake Hsuna
 Mwali adabu na heshima - mwari mwarikwa!
 twende mwari wangu!
umeona eeh, kabati hili upange nguo zako na mume vinzuri!!!
Somo Ashura akionyesha ujuzi wake na mwari wake kiduchu.....!!!

 Kamati ikikabidhi zawadi yao chini ya uenyekiti Gea HabibMfalme ndani ya nyumba
 Gea akimuingiza Mzee Yusuf ukumbini, watu eeeh!!! ni nadra sana Mzee kuimba kwenye shughuli labda Jahazi waimbe live, Husna uko juu!! chezea Gea!!! mama wa hekaheka?
 Kwanza alikwenda kumsalimia Malkia Husna!!!
 Mzee Yusuf akiimba kwa hisia kabisa!!!
 watu walipagawa!!!Khanga Ndembendembe laki si pesa!!
 
Umeona CL?? zimepiga shuttle mpaka wekundu unaishia!!!

NYUSO's

Mariam & Friend
Hanifa Kessy & binti yake
Wifis!!

Zamaradi Mketema & Friend

Salma Mntambo & Zamaradi
Hawa Kessy & Mariam

Injini ya jiji Salma Mntambo, kubwa lao!! -pendeza ile mbaya wa mjini mjin tu hakosei hata siku moja, pamba za ukwee'e

Dina Marios
Marima Twahir - Director of Talma Caterer 

Regina & Sadaka
MC, Nyakanga & Somo mzoeefu Dalila Jagar 

Bahi & Salha


Salma Mntambo na mwari wake Ashura

 Meza ya somo Ashura na wapambe wake!!!

high table ya mama na shangazi & bibis!
Mama Pepe toka Dodoma uko juu, yeye kampa Husna zawadi ya vifaa vya ujenzi pindi tu wakiwa tayari basi wamuone yeye na mumewe!

Tally Kassim Super Modal wa enzi hizoooo!!! lakini bado uko fitumeona eeh! kala blokingRed Carpet
Mama mzaa chema!!!
Jitu Bahari!!


 
GUESS WHO??

Hairdos!!!Viatuz!
CL

Head-gears!!

Suprised Happy Birthday!!!! 


Watoto wake wlimsuprise mama yao, Hanifa ambayo ilikuwa ni birthday yake!!!!Post a Comment

11 Comments

 1. This comment has been removed by a blog administrator.

  ReplyDelete
 2. This comment has been removed by a blog administrator.

  ReplyDelete
 3. Mashallah Mama Salma Mntambo yani umetisha. Kweli wewe ni Engene ya Jiji

  ReplyDelete
 4. This comment has been removed by a blog administrator.

  ReplyDelete
 5. asante sn bdada mi ndo jana nlikutumia msg nikaomba uweke anonymous nadhan umejionea msg zmeanza kuingia bla ya hvo cdhan km ungepata maoni, naona umefanya kdg mabadiliko ktk blog yako na blog imekuwa nzur pia hata pcha unazopga saiv naona znatoka vzr zaid hasa zle za pale Johar Salon HONGERA KWA HLO.

  J.

  ReplyDelete
 6. hongera da huu jaamani umependeza sana..kila la kheri katika ndoa yako.

  ReplyDelete
 7. Da Huu pendeza sana hongera mwaya, mungu akujalia kila la kheri katiaka masiha ya ndoa yako

  ReplyDelete
 8. mama mashughuli, ukianza kuruhusu comments za kusema watu vibaya, utajiharibia.. wewe ukiona mtu katoka kama kinyago mpotezee usimpige pihca kabisa,wala kumtoa katika blog maana huu ni uhasama.. umesikia ?? why cant you be like shamim zeze? iga mfano wa shamim, husikii akigombana na watu au kuwatoa watu mapicha mabaya ili wengine waseme maujinga katika blog.. sijaipenda hiyo tabia uliyoianzisha..!! wewe ni mtu mzima.. na msomi, tumia akili yako, usiige mambo ya kipuuzi wanayoyafanya washamba wengine katika hii blog yako.. umesikia?
  ushauri wa bure tu huu.. ukiamua fata, ukiamua potezea na uone madhara yake.!!!

  wasalaam.

  ReplyDelete
 9. Da Huu honngera sana. jaman nampenda yule anayeitwa Mariam Mtambo yaan saaaaaaaaana

  ReplyDelete
 10. picha nzuri sana. nakupongeza mpiga picha nice. na husna amependeza na color ni nzuri aliyochagua

  ReplyDelete