UZINDUZI WA ZUKU TV GOLDEN TULIP HOTEL

Zuku TV ina channel Kibao!! na unalipa kwa pesa yetu ya Kitanzania, burudika wewe na familia yako!

 MC-Kibonde - Clouds Media, akimkaribisha CEO wa Zuku Afrika


 Mkuregenzi wa Zuku - Tanzania Mr. Ally Mfuruki
 CEO, Ally Mafuruki & Prof. Mkoma
 Mkurgenzi Mkuu wa TCRA Prof. John Mkoma, akiwapa hongera waanzilishi wa Zuku TV-Tanzania kabla ya kubonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa ZUKU TV, wadau ITV imo ndani!!
Prof. John Mkoma akibonyeza kitufe kufungua ZUKU TV Tanzania
Screen ya ZUKU TV,  ni bomba!

Entertainment 


 Dogo Asley akivuta mkwanja toka kwa mashabiki Hapa akiimba naenda kusema kwa mama inaniuma saaana!! 
 Kiduku Style!!!
Msanii ROMA, ok MKATOLIKI? asante Chriss kwa kunipa jina sahihi,  kwani ndio mara ya kwanza kumuona ila mistari yake chuo!!! yeye anasema "I am the pastor of this church, waacheni watoto wadogo waje kwangu.........!!!
 Toka kwa AY!!!


NYUSO's 
sasa hapa ni balaa kwani mastaa kibao!! R: Joyce Ngoda & other staff of ZUKU TV

 R: Moshyen of Clouds FM & Friend

 L: Chris & Brian of DATACOM HOLDINGS LTD
Post a Comment

0 Comments