JOHAR CLASSIC BOUTIQUE & SALOON

Haya wadau wangu nawaletea kijiwe kipya kabisa si wengine bali ni Johar Classic Boutique & Saloon Waliopo Kariakoo Mahiwa Street, ni wauzaji na wakodishaji wa nguo za harusi, Aqdi na mazagazaga yote ya bi harusi kwenye ndoa au reception, pia ni wapakaji hina michoro yote mpaka ile ya kisudani , kazi zao ni nyingi sana na za ukwee'e. Tutawaletea moja baada ya nyingine kila siku, kuhusu uso wako hapo ndio tatizo la chunusi na uso wako kuwa clear kabisa, picha nyingi zinakujia mdau kaa hapo hapo!!!
Wanapatikana::KarikaooLivingstone\Mahiwa Street karibu na msikiti wa Mtoro
Wasiliana nao kupitia no hizi za simu:: +255715282209, +255783646414 & +255777608060
Body Waxing or Hair Removal
Vinyweleo!!!!!
Kama tujuavyo vivyweleo katika mwili wa binadamu, hapa leo namuongelea mwanamke zaidi, lakini hata wanaume pia vyawahusu. Vinyweleo especially kwenye mwili mwanamke ni uchafu, kuna watu ambao hawana vinyweleo kabisa na wengine wanavyo vingi sana, kama mwanamke kujiweka katika hali ile ya usafi unatakiwa kuondoa, sasa Johar Saloon wao wanakusafisha,  nenda kawaone bibie kunuka kikwapa aibu,  mie napenda sana kuondoa kwenye kwapa hata ule weusi ambao wengi wao upata kwa sbb ya kutoa na kiwembe hakuna na pia vinachukua muda kuota, unakuwa msaafi, ukipaka Deodorant siku nzima!!!!, Johar Saloon wanafanya Full / Half Body Waxing!, Bikini waxing, Eyebrows!Veli hizo zinauzwa na kukodishwa
 
Nguo kwa send Off, Lunch au kitchen Party, ndoa


 Mburuzo kwa nyuma

 Mburuzo kwa nyuma

Mburuzo kwa nyuma
Dish Dash za ukwee'e zinapatikana Johar Boutique, hizi zauzwa tu!!!!

Vilemba vinafungwa style tofauti, haswa kwa wale wenzetu wasioacha kichwa wazi na wanakwenda shughulini basi ukienda Johar Classic Baoutique & Saloon utafungwa kilemba style!!!!

Johar Saloon ni wapambaji wa bi harusi kuanzia Hina, make-up na kuvishwa!!! 
 Jamila siku ya lunch yake baada kuvishwa na kupambwa Johar Saloon
 Umecheki hicho vishikizo?? vyote vinauzwa kama huwezi nunua basi wakodishia!
Jamila siku ya ndoa alipakwa hina Johar saloon

Vikorombwezo au vishikizo!
Crown, ni zile nzuri sana zinauzwa na kukodishwa....!! Bi harusi mtarajiwa kwa nini usipendeze??

Hinna
Hawa ndio wakali wa kuchora hina michoro ya aina zote, kisudani, kihindi wewe mwenyewe tu wapigie simu upate kuwafahamu zaidi!!!  +255715282209, +255783646414 & +255777608060


 

Si unajua hizi za Naija?? basi fika Johar Saloon Post a Comment

0 Comments