KIBAO KATA CHA VUNJA KAMATI - UPANGA
 

Ngoma bila kulewa nitaichazajee mie!!!!

Post a Comment

11 Comments

 1. JITU BAHARI wape raha watoto!!!! kweli ya hatari lete picha mama wa mashughuli wewe ni wa ukweee kona zote unabamba tumechoke kuwaona watu artificial, mutu unaishi maisha ambayo siyo yako unataka kila siku uonekane uko na vitu vya gharama, unaenda mahotel makubwa, unavaa vitu vya gharama!! unaendesha magari ya gharama, leo umekwenda marekani sijui nini, hii ndio blog ya watanzania na shughuli zetu

  ReplyDelete
 2. mmmmmh huyu mgombanishi,inahusuuuu???kila mtu ana uhuru wa kuishi maisha anayoyaataka acha fitna kwani hauwezi kukoment bila ya kuwasema wengine??

  ReplyDelete
 3. mmh sasa watu wote waishi ktk staili moja tutafika?kila mtu ala raha kimtindo wake.jitu bahari,mimi nakuita mamaa nakshi nakshi,maana mambo yako sio mchezo,tukija kwenye pamba wewe ni noumaaa.

  ReplyDelete
 4. mmh...!hata mi kanistua tena uache ucjetugombanisha na watu bure,we kama unasifu au kuponda bac fanya kwa kitu husika.

  ReplyDelete
 5. Taratibu mdau wa kwanza, kijiwe hiki kina amani sana hatuna roho mbaya mbaya. Waache watu waishi maisha yao fanya kazi na wewe upate

  ReplyDelete
 6. We anonymous wac kwanza roho inakuuma ehee?pole wee

  ReplyDelete
 7. Jamani kweli ushamba mzigo, mie sikuwa najua watu kuwa wanaogopa mahoteli makubwa kiasi cha kufikia kuwasema wanaokwenda huko. Kama na wewe unataka si uende tu ukapate japo chai? Mbona sio aghali kiasi cha kuweka kinyongo kiasi hicho; ila nadhani ni mazoea tu watu hawana ya kwenda huko. Hebu jikaze siku moja weka 20,000/ anza na hotel za chini kidogo upate mazoea kisha ukishazoea mazingira nenda huko mahoteli makubwa ukapate coffee kwanza au light meal kisha utakuwa unaona kwenda mahotelini ni mambo ya kawaida tu haina ukiona picha ya mtu kaweka yuko kwenye hoteli kubwa hutarukwa na roho!

  ReplyDelete
 8. chezea jitu bahari?binafsi nimemjua humuhumu ila namkubali sanaaa

  ReplyDelete
 9. mdau wa kwanza habi eeenh, hayo wala haya husu hum ndani, kila mmoja anauhur wa kufanya anavyotaka as long as havunji sheria!!! hongera mama jitu bahari uko juu mama, na mashughuli mola akuweke ili uzidi kutupa raha daima dawamu mamito, me luv you

  ReplyDelete
 10. Mdau wa kwanza ana wivu wa maisha ya wenziwe balaa...maisha ni kutafuta sio kutafutana eeeh...kaza buti na muombe mola akupe fungu lakota..acha kuwa na akili finyu za kuwaonea wivu watu na maisha yao.ndio maana wa bongo hatuendelei vitu vidogo vidogo vinawatoa watu Imani .

  ReplyDelete
 11. Kwanin picha nyingi haziko clear?!

  ReplyDelete