LADY IN RED 2012 - ASIA IDAROUS KHAMSIN

mama wa mitindo ASIA IDAROUS KHAMSIN ambae ametimiza maonesho ya mavazi 100 kwa tanzania tu mbali ya nchi za nje , yeye na team yake watazinduakituo maalum cha kusaidia waathirika wa dawa za kulevya kiitwacho KIKALE YOUTH CARE GROUP kinachotayarishwa huko maeneo ya kikale walaya ya rufiji. siku ya tarehe 10 feb katika onyesho la mavazi lenye hadhi duniani liitwalo LADY IN RED 2012 ambalo hufanyika kila mwaka , hili ni onyesho la saba mfululizo tokea limeanza . ASIA hufanya kazi zake tanzania na marekani za ubunifu wa mitindo onyesho la lady in red kwa mwaka huu litafanyika tanzania na marekani , karibuni wote kiingilio ni 50,000 kwa vip na 20,000 kawaida kutakua na live band na after party itfanyika nyumbani lounge.

Post a Comment

2 Comments

  1. JAMAN NAPATAJE TABU KUPOST COMMENT

    ReplyDelete
  2. MWENYEZI MUNGU NEEMA NA THAWABU NYINYI, AWAJAALIE SANA KWA MOYO WENU HUO TUKO PAMOJA KUWASAIDIA WAASIRIKA. KAMA TUSIPO WASAIDIA WATAANGAMIA NA TUTAWAPOTEZA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI KILA SIKU. KAZI NJEMA.

    ReplyDelete