LATIFAH's SWEET PARTY

VENDOR LIST:
BRIDE::Latifah Ally
VENUE::Diamond Jubilee VIP-Hall
COLOR::YELLOW & Tangerine Tango,Blue 
MC::DALILA JAGAR - 
CATERER::Hamad Mntambo Caterrer
DECORATION::
STILL PICS:: - GRM PRODUCTION

 MC-Kenyetta - ana vijembe huyu!!!

Salma Mntambo akishuka ndani ya gari yake mpya kabisa VOGUE SPORT, ili amfungulie mlango Latifa ashuke!, Jitu Bahari!!!!!!!!!

Aliingia yeye na Latifah, huku wacheza DONT TAKE MY NUMBER, I DONT WANT YOUR NUMBER, upo hapo!!!


Champaign 

Champgnie ziliffungliwa kila kona na warembo mwanaume alikuwa mmoja tu 


Ukumbi
akimpa kipande cha cake mama yake Bi Salma Mntambo
Dada yake Dalila
Kaka yake Abdallah
akiwapa cake upande wa mume mtarajiwa!

Zawadi
 Hawa warembo ndio waliopokea zawadi mlangoni, ukiingia na zawadi yako unaacha mlangoni, watu sepcial tu walipewa muda wa kupeleka zawadi pale mbele, waalikwa walipata muda wa kucheza mziki,  mara nyingi unakwenda kwenye shughuli hakuna hata muda wa kudance kwa ajili ya mlolongo wa zawadi, mimi naona tubadilike katika kupanga ratiba zetu za harusi, yale mambo ya kutunzwa, kapu la mama ni kwenye kitchen party, sio send off na reception na waalikwa tujitahidi kwenda kwenye shughuli muda unaotakiwa ili twende sawa na ratiba, Mariam Mntambo ndio organiser wa hii shughuli ilikuwa nzuri sana!!!!

 Wafanyakazi wenzake Latifah CRDB Bank, tawi la kijitonyama wakipeka zawadi yao

Hapa kulikuwa hakuna ile namtufuta mchumba wangu, hapana ailkwenda moja kwa moja kwake Mr. Isaya na kumpe ua la rose, baada ya hapo alimkaribisha kwa chakula cha jioniChakulaKata mti panda mti, 

Entertainment 
 Live Band - Raha Tele Modern Taarabu
 Khadija Kopa, si unajua manjonjo yake!!!
 Salma Mntambo akitunza
 Latifah naye alishindwa kujizuia hisia zake kwa Latifah
 umemuona Khadija Kopa..!!

Pia tulikuwa na msanii wa T.O.T, a.k.a Paka Mapepe

 Rehema bwana huachi visa!!!!

 w
Nyuso's
Kulikuwa hakuna sehemu maalum pale mbele kwa ajili ya Latifah, meza yake iliwekwa mchanganyiko na meza nyingine na alikaa na marafiki zake!!!!

 wapenda picha!


 Happy na mashostitos
 wapenda picha hao na pozi zao....lol
 Catherine African Temu
 utawajuaje???

sisters!
 Latifa & Friends
 mama na mwana
 mntambo's

 nilimpenda huyu mbinti
 Mheshimiwa Bigo na castle lite
 chezea Bigo!!!


 Pili Tau au Mama Halima, jamani huyu ni mama yangu nilifurahi sana kuonana naye!!! kumbe yeye ni upande wa mume wamasai......!!!
 Nampenda sana huyu aunty yeye huwa anavaa kiafrika sana anapendezaje???
 Mohamed Madenge, muwezeshaji wangu!!!
 Ahmed Mgeni


 mama na mwana


 Salma Mntambo akimpa nasaha Latifah mwanaye, jamani hapa maneno yalikuwa manzito, kwa kifupi hii party imefanywa na Salma Mntambo mwenyewe, kama zawadi yake kwa Latifah na ndio maana alimsimamia mpaka mwisho!!
Asante mama

Red Carpet
Jitu Bahari CHEZEA YEYE UTALALA NA NJAA BUREE!Bahi jicho hilo!!!!!
pendeza eh!!
mburuzo!!!


MAMA KIJACHO!!!
Mr & Mrs
Mkwe, pamba za ukwee'e
Swaga's
Post a Comment

6 Comments

 1. Hii nimeikubali, very unique

  ReplyDelete
 2. watu walipendeza sn nmependa bharus hamna makorokoro kichwani na wale wadada walovaa kinaija wamependeza sn.

  ReplyDelete
 3. Mashallah Khadija pendeza wewe...

  ReplyDelete
 4. Inshallah mdogo wangu alipendeza sanaaa namtakia maandalizi mema ya kuingia kwenye ulimwengu wa mwingine wa maisha ya ndoa yanaohitaji uvumilivu na upendo zaidiiiiiiiiiiiiiii

  ReplyDelete
 5. khadija kopa dish dash la ukweliiiii

  ReplyDelete
 6. watu wengine bwana wanapenda.....

  ReplyDelete