MAMBO MAPYA JOHAR CLASSIC BOUTIQUE & SALOON!!!

 
Joha-Mkuregenzi wa Johar Classic Boutique & Saloon
 Johar Saloon wanapakaa tatoo ya nyusi


 Mteja akichora hina Johar Saloon Wafanyakazi wa Johar Saloon, mteja kwao ni Malkia
 Ile michoro ya uchokozi pia inachorwa Johar Saloon, kiunoni, shingoni mpaka mat.....!!!, kwao mteja na matakwa yake!!

Wafanyakazi wa Johar Saloon wakiwa na furaha na BOSS wao!!!

ABAYA ZINAPATIKANA JOHAR BOUTIQUE
 Umemuona Joha,  yeye mwenyewe anakushawishi uende saloon yake ukapendeze!!! 
 

Pendeza eeh!! wadau, mitandio ya two in one inapatikana Johar Boutique mmeiona eeh! pambe ile mbaya!!! 

Post a Comment

1 Comments

  1. Me nmevpenda sn hvyo vmito naomba niambie vnapatkana wapi yaan hvyo2 vlvyo na vforonya vyake vya manyoya2

    ReplyDelete