8020 FASHIONS PRESENT WOMENS CELEBRATION

Haya haya wadau wangu wa mashughuli natumai tuko pamoja na siku yetu, Mzee Yusuf live ndani ya SERENA Hotel, mie na kikundi changu kipya ndani ya WOMENS CELEBRATIONS DAY, nawatambulisha kwenu designer mpya kabisa wa khanga yangu ya WOMENS CELEBRATIONS DAY katika ulingo mpya wa wabunifu, usikose njoo upate picha ya RED CARPET ya ukwee'e, kaa mkao wa kuona mikato HK Collections

Post a Comment

0 Comments