CHICHIA LONDON TANZANIAN DESIGNER - AFRICA SPRING SUMMER COLLECTION 2012

 Vionjo hivi ndio vivazi cha Womens Celebration Day hapo Serena Hotel Jumamosi 03-03-2012


Hata hichi pia pata mawazo je yako itakuwaje??? usikubali shurti upendeze 
 Hii je nzuri eeh!!
Tena raha ya nguo yako usikate maneno yasomeke ili ujumbe uwafikie!!! mie ya kwangu imeandikwa hivi "NDIO NI KWELI LAKINI HAYAWAHUSU" huku live Mzee Yusuf sipati picha!!! usikose!!!!
Hata hii ni khanga pia!!
UBUNIFU WA NGUO HIZI NI WA MTANZANIA MWENZETU AMBAYE ANA MAKAZI YAKE LONDON, RINGIA CHAKO!!!! IPENDE NCHI YAKO!!!!!

Post a Comment

1 Comments

  1. hiyo lipstic ya picha ya pili mbona kama kababuka midomo...

    ReplyDelete