JE UNATAKA KUPATA MUONEKANO UNAONDENA NA SURA YAKO?

Jibu lako ni TITANIC wa Anta kutoka Kamalondo salon kinondoni, yeye ni processional hair dresser na anakutengeneza kuendana na uso wako, anakushauri na siyo mpaka uwe na nywele ndefu ndio uende salon hapana hata wenye nywele fupi pia mnapata munekano wa ukweli..!! 

mawasiliano: +255 655 293 090

Hellen Siria nywele zake zinatengenezwa na kukatwa Kamalondo salon
hair dye 
 Nywele ikipikwa
 baada ya kutengeneza nywele
rangi nzuri eeh!!!
Hellen - Nywele zake zinatengenezwa na Kamalando Salon
 
Jamani napenda sana nywele zangu kwa muda mrefu sana nimeangaika salon nyingi bila ya mafanikio lakini hapa ndio jibu langu....!! muonekano huu unaendana kabisa na round face yangu!!! sio unafanya hair style kwa sbb fulani kafanya na kapendeza je nyuso zenu ziko sawa???
 hair cutting by Titanic
 nyuma sasa imenogaje??

Neema Matee, hair style done by Titanic

Piga simu no.: +255 655 293 090


Post a Comment

0 Comments