CHAI YA MARYIAM & MUHIDIN - ZANZIBAR

Bride           :Mariam
Groom        :Muhidin
COLOR      :Pink & White
VENUE       : Golf Hotel Zanzibar

Chakula
Hapa lazima tuwape sifa, buffer lina aina za bites 20, nasikia hizo ndio zao wanashindana kwa msosi  na vyote vitamu vimepikwa haswa..!!!NYUSO
H-Table 

Joha Simba


R:Mke wa makamu wa pili wa Raisi Zanzibar mama Asha Seif Idd
Da Rukia ni BBM nini Keep you busy!!!!
Red Carpet

 Chezea bi Saada weye na pozi la wakati!!!!!

 Shadia Pendeza eeh!!!

 MOI
Jaffar mbona waonekana kama mnzazibar??? au ndio umefanana?
Post a Comment

3 Comments

 1. Mdau Tanzania Embassy, Washington, DCFebruary 14, 2012 at 10:26 AM

  Mashallah Mariam Umependeza na Mumeo. You look completely different when you were here in DC last year. Mungu awajaalie ndoa yenu iwe yenye kheri na idumu milele, inshaallah.

  ReplyDelete
 2. Da Hellen, huyo mwenye njano pembeni ya Bi. Asha, ndie mke mkubwa wa Makamu wa pili wa Rais, bi Asha ni mke mdogo. mbona ye humtendei haki kumtambulisha?

  ReplyDelete
 3. Nadia pendezaaaa na biharusi waaa

  ReplyDelete