MAULID YA MTUME MUHAMAD (S.W.A) MADRASSATUL ABBASIYA 2012 YAFANA KWA KISHINDO KIKUBWA!!!

Kwa heshima kubwa ya sheikh wetu Abassi Ramadhani napenda kuwaletea picha za maulid ya Mtume Muhammad (S.W.A), Mashughuli Blog tokea ilipoanzishwa mwaka 2009 ilianza kuleta picha za matukio mbalimbali ya dini na madrassat Abbasiya tuko nao pamoja

Sehemu ya picha za kwanza, upande wa wanawake, picha za upande wanaume zitakujia...!!!

 UPANDE WA KINA MAMA!! kulijaa si kawaida!!!


Khadija Yusuf & Wahida
 
Kati: Fatmah & Kushoto Asha - Mkuregenzi wa Manzelline Shoppers & Quality Center sponsor wa Mashughuli Blog Asante kwa kutuwezesha!!! Shumu!Fatmah Adam & Dalila Norman
 Sharrifa Hashim hajaat mtarajiwa!!!! salimia kaka sana!!!!


 Kati: Husna Madenge mdau wangu mkubwa, salimia wifi na kaka!!!


 Pacha, tunasubiri maulid.....!!!! nasikia sare pambe eehh!!!


 Hawa Kessy !!!!! Salma Tewa uso ngari'ngari...!!!

 Alhanisa Sleyum wa Zayuni jina la kubwa laazizi!!! unatisha kote kote!!!

 Mwanaisha..!!!
 Mdau wangu mkubwa mimi penda wewe sana!!!!!
 Bi Afsa Mbaraka hina hina dada!!!!!!
 Wadau wangu waliponina hawakuamini kama ndio mie!! mama wa mashughuli!!!!!

 Nuru Mwene wa ukweee, tutachezaje??? hiyo tarehe 24/3
 Mariam Twahiri - Mkurugenzi Talma Caterer

 Saada Brazak
 Mariam Best

 Mwanaidi Ramadhani uko busy ndugu yangu!!!!

 Nuru na wifiye pendeza eeh!! Dalila
Familia!!!!
Kamati ya maulid upande wa wanawake hongereni - Inshaallah tukutane sote mwaka 2013

Post a Comment

7 Comments

 1. Mashallah mtume aliitikiwa haswaaaaaa m/mungu awaweke waliofanikisha maulod ya mtume wetu S.A.W

  ReplyDelete
 2. asante kwa picha da mashughuli watu walipendeza . sana mi penda sana wewe
  by sweety

  ReplyDelete
 3. Waislam yapendeza kusherekea mazazi ya Mtume ( S.A.W) maulidi si bidah

  ReplyDelete
 4. Mshallah na leo ijirudie tena usiku, jamaani tushirikiane kufanya maulid hii

  ReplyDelete
 5. Mshallah na leo ijirudie tena usiku, jamaani tushirikiane kufanya maulid hii

  ReplyDelete
 6. Mmependaza sana, mainshallah na leo usiku tuhudhurie wote kila sehemu husika

  ReplyDelete