LADY IN RED RELOADED FASHION SHOW - SERENA HOTEL 2012Tulikaribishwa na ngoma ukiingia tu mlangoni

Stage kama ilivyoonekana

Watu, wakiendelea na ununuzi wa vitu...!!!

Accessories toka Enjipai


Uzinduzi wa KIKALE YOUTH CARE GROUP
 Asia akitoa maelezo kuhusu Kikale Youth Group
 Hii ndio crew nzima ya Kikale Youth Group


MNADA WA BIDHAA KUCHANGIA KIKALE YOUTH CARE GROUP
Martin toka mvutokwanza Blog akionyesha suti iliyotolewa na Milano Suitwear Ingia humo kuona kazi zake


Nguo hii toka FABAK mbunifu, iliuzwa kwa 110,000/=

Khadija Faraji akinadi picha ya ukutani ambayo ilitolewa na organisation yao ya kuwasaidia watu vijijini, hii picha iliuzwa kwa pesa nyingi zaidi 
 Anna akikabidhiwa picha baada ya kununua

 Anna akichukua picha baada ya kushinda upizani mkubwa juu ya picha hii
 Khadija akinadi bidhaa, yuko fit nusu anibidishe na mimi
 Mdau aliyyenunua hii set kwa shs. 250,000/=
Diwani ya kata ya MAFISH Kariakoo alichangia million 6 katika ujenzi wa kituo.

FASHION SHOW YA LADY IN RED WABUNIFU WAPATAO 50 WALIONYESHA UBUNIFU WAO WA MIKATO!
Design by Khadija Mwanamboka


Design by Farha Sultan
Design by Farha Sultan


Design by kiki's Fashion
Design by Ailinda Sawe
Created by Rose Fashion Designer
Design by RIO


Design by Ally Remtula
Designed By Asia Khamsin
Design by Eve Collection

Certificates of Appreciation zilizotolewa na FABAK
Kikis kama cheti cha mwanamitindo chipukizo bora

Nasreen wa ENJIPAI
Martin Kadinda akipokea cheti cha shukran from FABAK, Martin ndiye organiser wa hii event kazi nzuri!!
Benchmark Production - madame Rita akipokea cheti cha shukran kama mdhamini

Blogger ingia humu uoine kazi zake MISSIEPOPULAR BLOG
Mashughuli Blog naye akipata certificate-asante FABAK kwa kuona ninachofanya..!!
NYUSO
 BBM keeps you busy eeh!!!

 Khadija Faraji ... uko juu


Biubwa

RED CARPETJokate
Rita
Sara
Victoria
HAPPY PEOPLE!!!
SWAGA's
Post a Comment

0 Comments