NEW ARRIVAL@ MANZELLINE SHOPPERS PLAZA

Haya wadau sasa ni manzelline shoppers plaza, kama kawaida the "proof of quality" sasa pata picha kamili  kinzuri chajiuza kibaya chajitembeza!! hapo chacha!!
Viatuz

Mnyama huyu mnzuri eeh!! yuko tofauti na wengine utafikiri mchafu

Sandals!!!!

Flat Shoespenda mume yako!!!
 

Accessories 
 Wao ni wauzaji wanzuri wa perfume originally na zile za victoria sexy
Pete za ukwee'e - quality ya juu!!!!Evening Dress, Suit za ofisini, Casual Wear & mitoko ya club!!!Hapa itabidi niongee kidogo, watu wengi wametuma smg kuulizia hizi nguo zinapatikana wapi hapa Dar? manzelline yeye analeta na african wear kutoka west africa wapenzi waende manzelline maduka yote 

Post a Comment

5 Comments

 1. JAMANI VITU VIZURI ILA HAO MODEL ULIOTUMIA SIO WAMEFANYA VITU VIMEONEKANA LOCAL NA VIBAYA MNO LOL KAMA ALIVYEVAA VIATU VYENYE RANGI YA NJANO MHHHHH

  ReplyDelete
 2. JAMANI NIMEIPENDA HII BAZEHEE HADI RAHA UNAWEZA UKANIAMBIA DADA YANGU NI SHILINGI NGAPI YANI DUHHHHHHHHHH SAFI SANA NAOMBA NIJULISHE TAFADHALI

  ReplyDelete
 3. My dear Bazee ni laki tatu na hamsini
  Karibu sana!

  ReplyDelete
 4. Dear
  Hao models wako mmmmmmh haijatulia tafuta professionals kama kina Jokate utauza. Hawa uliowaweka wataku-let down usipate wateja

  ReplyDelete
 5. ukitaka duka lako lionekane na vitu vizuri pls usirudie kuweka model wanamna hyo wamekualibia nguo

  ReplyDelete