NEW ARRIVALS @MANZELLINE QUALITY CENTER

Haya wadau wangu Manzelline ile ya Quality Center wameshusha mzigo wa ukwee’e kuanzia manukato products za Victoria secret & signature viatu & evening dress za ukwee’e, style tofauti na size zote zinapatikana, pata muonekano wa picha hizi……
The Proof of Quality!!!

Evening Dress, simple dress na kwa wale watarajiwa watapata nguo za send off na hata matron pia rangi tofauti size zote zinapatika Manzelline usemi ni ule ule "The Proof of Quality" 


Blause style tofauti na za kisasa kwa kuvaa na jinsi, size kubwa pia zinapatikana 

 Vimini....!!

Accessories za ukwee kutoka kwa madesigner maarufu marekani!Nguo za watoto
SECRET CHARM
STRAWBERRIES & CHAMPAGNE
BE SEDUCED


PEAR GLACE
APPLE BLOSSOM CITRUS, SIGNATURE PRODUCTS
 POMEGRANATE CITRUS
ORIGINAL PERFUME RED BY GIORGIO BEVERLY HILLS

VIATUZ

Bonge ukiona nguo kavaa Bonge na wewe ni size 16 na kuendelea usisite kwenda kuona

 
  
  Post a Comment

1 Comments

  1. nimelipenda hilo gauni jekundu na viatu na viatu vya saba kwenye picha kutoka juu, je nikiasi gani ili tukija tuje full

    ReplyDelete