MARYAM & MUHIDIN WEDDING RECEPTION

Bride           :Mariam
Groom       : Muhudin
COLOR     :Damwati & Brown
VENUE      : Bwawani Hotel Zanzibar
Designer     :Joha Simba

  
Food 

Mkono wa hongera na zawadi
Zawadi ya mashangazi toka Bongo!


 Rukia Masasi akimtunza Bi Asha...!! nilipata fununu ni set ya dhahabu maana haikufunguliwa..!!
 Huku Joha Simba akimtunza sanduku bi Asha no sasambua jamani..!!!

Entertainment


 

 
 
Umeshawahi kuona ngoma ya kilua? subiria kideo
NYUSO
 Joha Simba na crew yake nzima
 Mama mzaa chema, 

Sharrifa Hashimu umnogaje dada??
Tuma Fancy
Japhary AmbariJoha & Faiza Mafish


Muheshimiwa Hawa Ghasia, very cool women,I really love her!!!
warembo eeh!!!
Hasina Kawawa
Bi warumba
Shadia & Salma TewaSuti zimenogaje!!!

Red Carpet
Dress designed by Joha Simba

Swaga's

Post a Comment

8 Comments

 1. Sasa mambo poa picha nzuri subiri zawadi nikija tz

  ReplyDelete
 2. Picha nzuri lakini chache.

  ReplyDelete
 3. Beautiful Beautiful Maryam, Mashaallah. You look gorgeous. Congrats to you and your parents H.E. Ambassador Seif Iddi & Madam Asha Iddi for a nice wedding. God Bless.

  ReplyDelete
 4. picha nzuri sana, na bibi harusi amependeza kupita maelezo, mungu awajalie ndoa yenu idumu

  ReplyDelete
 5. JAMANI HARUSI YA MTOTO WA NANI MAANA WAKUBWA TELE MTUJUZE JAMANI

  ReplyDelete
 6. Bi joha tafadhali tuambie wapi hapa Dsm naweza pata hayo mabazee au wapi naweza kwenda kudarizi, ila harusi ni ya ukweeeee
  salaam mdau wa UK niko likizo -Zackia

  ReplyDelete
 7. kaka Siso hongera

  ReplyDelete