AQDI LUNCH YA FUAD & FATMA

BRIDE            ::FATMA
GROOM         ::FUAD
VENUE           ::POLICE OFFICERS MESS - OSTERBAY
COLOR          ::YELLOW & BLUE
MC                  ::DALILA JAGAR - +255 713 265 137
CATERER      ::TALMA CATERER
DECORATION::MONICA MAKUNDI
MAKE-UP        ::TWAIBA
CAKE               ::MONICA MAKUNDIFadya akimuuingiza kaka yake ukumbini


Decoration & Table SettingWanakamati wakipeleka sanduku na zawadi ya mama MADINI 


 Siamini Tatu kama wajua rembua kiasi hicho...!!Picha ya pamoja na wanakamati
Mama Nuru mwene akimsubiri kutunzwa na wanakamati wake, jamani hii shughuli tulijaribu kufanya muda mmoja tu wa kutunza ili waalikwa wapate muda wa kucheza muziki, kwani siku hizi kutunza imechukua nafasi ya kila kitu kwenye shughuli, kwa hiyo MC alitangaza kuwa wanakamati ndio watakaonza kumtunza MAMA baada ya hapo wageni waalikwa na wataunga mkia kwa yoyote yule mwenye kutaka kumtunza Nuru
Mwenyekiti wa kamati yetu alikuwa Fatma Simba na Katibu mie..lol


Tanti Boy Super Star wa ukwee, shughuli yake yaja soon!!!


Khadija Yusuf
Wahida
Rehema Twahir
Tanisa acha fujo bwana akimtunza mama yake kwa raha....!!!
MC Dalila Jaggar jembe langu la ukweee'e

Watu wengine wakaunga mkia kumtunza Nuru Mwene
Mwanaisha Masanga


Maryam & Sharry waastarabu bwana wana mji wao huu usemi ni kweli kabisa hawa madada 100 kwa 100
Tahiya mke wa Dawood na shosti wake Pamela walimtunza ma Nuru, Sharrifa & Rehema nao wakasema haiwezekani na sie tupo..!!

Fadya kalia kiti
Hapo hapo Fadya alikalia kiti ili atunzwe, haka baby dolly kanzuri kweli sura na tabia
Tant & Tatu Lumelezi wakimtunza Fadya
Tatu hiyo pochi mbona unaibana sana tena kifuani
Tanisa akimtunza Fadya, una fujo weye..!!
basi tunza ikaisha watu wakacheza kwa nafasi inahu kwenye shughuli mpaka saa saba usiku watu wamecheza nyimbo 2 tu
KINANDA

Raha ya kinanda na pale waalikwa wanakaribishwa kuimba, Mke pekee wa Awadhi, akitupa burdani


Mama yake Joha akimtunza, wapi Lady Hanifa umetuona eeh!!!
KwaitoChakula caterer Mariam Twahir, mama wa mapishi, menu ilkuwa haja maana tuliweka vyakula vyetu vya kiswahili kama vile mseto kwa mchuzi wa papa, muhogo wa nazi....!!!!Apasia mwenyewe!!!Dotto & Fatma Janguo, mimi hapana salimiana na nyie samahani wapenzi wangu si unajua katibu busssssssssssssy!!

Maunda & Fatma Simba


Nyuso 


mama na mwana
 Nyuso lainiii chezea watoto wa mjini...utalala njaa weye...!!!


Bi Hafsa huyo mamii,mie penda wewe dada, kaka hajambo?


 je unawajua ORIGINALLY KIHAGO's maana sign yao ni MIJICHO si umeona eeh!! na ma......!!!, natamani wanipe jicho la kumrusha mwafulani roho ...!!!  si unajua ya kwangu china china style

mama wa yamyam Rehema Twahir
 Tatu maana hiyo pozi, umeona mazagazaga yangu?nimeona 


 
wana wa KARIAKOO, pamoja na super star TANT

Salama Kingui & Sharrifa Hashim

 Tanisa & Zuhura, unakumbuka lile beseni la ukweee, Taniza alimfanyie Zuhura??
umeona swaga za kipini cha pua, sijakutana nacho siku nyingi
Apasia & Friend ngari'ngari
 


Joha Kabotoka & Friend
Tanisa, Fadya & Zuhura
 RED CARPET


Sherry - mie kiatu hicho penda sana...!!!
Salma Mntambo

Hasina, Fattiya & friend Jembe langu hilo....chezea yeye!!!


CHAI YA JIONI
Kwa sababu ilikuwa Lunch baada ya kucheza na matunzano, Mariam Twahir Talma Caterer alituletea chai na vitafunwa vya haja

Hii ilkiuwa lunch ilianza saa 7 mchana mpaka saa 3 tumemaliza kila kitu

Post a Comment

8 Comments

 1. Da hellen ,gauni limekutoa haswa ,!naliomba.....lol

  ReplyDelete
 2. safi napenda sana sherehe ikianza mapema kama hii....mnamaliza mapema pia sio za mpaka midnight!!! mlipendeza sanaaaaa

  ReplyDelete
 3. MAMBO MASHUGHULI, HARUSI ILIKUWA NZURI SANA ILA NAOMBA UNIULIZIE IZO TISHU ZA RANGI
  WAMENUNUA WAPI? KWA SABABU NINA KITCHENI PART YA MDOGO WANGU RANGI ITAKUWA ORANGE NA
  BROWN TAFADHALI NISAIDIE.

  ReplyDelete
 4. Inapendeza nimewaona watu ambao siku nyingi sikuwaona, na inahuzunisha mbona ndugu zake Bibi sikuwaona (Kongowe)?

  ReplyDelete
 5. Jamani hii harusi mlikuwa mnachagua yaani sio siri watu ni wazuri kuanzia maharusi watu wazuri wamependeza wote ni siwe na wivu

  ReplyDelete
 6. Elisa na ww ni chinene kama mimi?, maana mie mwenzio mnene sana...!!!

  ReplyDelete
 7. Da joha mmependeza sana, naomba kuuliza hizo nguo za kudarizi kama ya Da fatma & mariam mtambo zinapatikana wapi? Au kama kuna fundi tuelekeze. Mdau

  ReplyDelete
  Replies
  1. hizo issue bila shaka kuyoka picadilly na kama sio kaka picadillt anazo

   Delete