AQDI YA MZEE AND BISHARASehemu hii ndio iliyotarishiwa Mzee 


Familia ya Dk. Tamba wakiingia nyumbani kwenye familia ya Kitandula kwa ajili ya kuoa


  
 Ndoa ikifungwa 
   

Picha za Shangwe, vigelegele na nderemo baada ya Aqdi kufungwa salama salmini

 


 
Dk. akimtunza mwanaye dollar ni mchezo pesa tu!!!!Tunaandoka 


 Ngoja kwanza nimuage wajina!!!Nyuso's


 L:Asha Sakala somo mkubwa wa Arusha Mjini na mahiri sana!!!
  Sabrina & shosti

Kwa karibu zaidiiiiiii

Post a Comment

3 Comments

  1. bharus alipendeza kwakwel makeup imetulia nguo pia hata hcho kikude cha kichwani,hongera zake.

    ReplyDelete
  2. mama Tamba wapi dada zako naona picha umepiga na mashoti wako tu bi harusi mashalaah kapendeza sana hongera Mwanakombo binti mrembo

    ReplyDelete
  3. Shughuli waa waa hongereni wazazi

    ReplyDelete