BAADA YA AQDI YA BISHARA & MZEE TUKISEREBUKA DANKEN HOUSECAKE
Somo Azma uko juu mamii umeona eeh!!


Asante bibi Bishara
Chakula 
Hapa nilipenda sana ni baada ya kuja angalia picha somo Azma Ndama uko juu all the way from zenj mwali kafundika kwelikweli Azma alikuwa na support ya jopo la masomo wa ukwee kama 10 hivi, turudi kwenye picha hapo Bishara akiwa makini kumsave mumewe  kwanza halafu ndio yeye!!!! 
Yale tuliyosema....!Matunzano
Mama akiwapa hongera wanawe!
Upande wa mume wakitoa neno na zawadi zao

Hapa Shangazi Bishara (bibi) akipelka kiwembe nilitamani kujua kiwembe nini?
Hapana chezea shangazi Bishara, lesi iko juu mbaya quality!

umecheki MADINI shangazi na mie nataka zawadi yangu
Mabibi......!!!
kiwembe kikitolewa....!

Mabibi hao eeh Asha Sakala naye bibi?? Noooooooooooo!! joke
Tunu Pinda akitoa zawadi......!!!

 Sherry akipeleka zawadi..!!!
 alivyofika pale mbele akamkabidhi Mzee zawadi watu wakajua ni zawadi ya Mzee kumbe sio ni zawadi ya set ya dhahabu but Mzee ndio amvishe mkewe, umeona eeh! heshima, waswahili wanasema asuyefunzwa na mamaye ufunzwa na ulimwengu, sasa kama hujafunzwa jifunze!!, hakuna cha BEIJING mume lazima apewe heshima!!!!! akipewa hongera na dada zake!!

Sasa hapa ni mzungu wangu......lol!!!
Umeshaona mtu akitunza kizungu?? pata picha
 Miriam akienda kutunza...!!! mama Bambo akimsindikiza umeona kibegi kidogo lakini.....!!!!
Wooo! you look wonderful my daughter....!!! umeona eeh! yeye alikuwa akiwafitisha maarusi wake, na alikuwa na zawadi ya mume na wake, wooh ilikuwa nzuri sana,


  Mama akienda kutunza, jamani masanduku makubwa hakuna sasambua inapoteza muda...!! i like that

 Zubeda Jumbe pendeza ile mbaya!!
 mama wa mashughuli the only one, si unajua na mimi ni upende wa mke!!!

 mama mbaga mimi penda wewe sana..!!


 Mama kubwa akituzwa mashostito...!!

 Mama Bambo akimwambia umeona hii ndio zawadi yako!!

 ndugu wapendanao utawaona tu!!!

 Arafa na nugu zake wakienda peleka sanduku..!!!

 Arafa Dishdash la ukweee'e

 
Bishara na Beuty na kabati....hongereni Asha akitunza, mie penda hiyo sana!!

Nyuso
 Mama Mbaga
 Sophy & hellen
Hajar chakula kitamu


Dk. Tamba a.k.a mzee wa LINEN maana anavaa original

my wiiii & Emma Kawawa


 
Asha Sakala & Mama Yunusi
Red Carpet
sare pambe eeh!! imenoga 
Sabrina & Friend pendeza eeh!!!
Add caption

Halima 
mama Mbaga
Sophy

mamili
Hajira..!!!
Sherrynew designer in Town
Very smart
mama Ngandu pendeza eeh!!

Niliipenda sana hii pozi!!!!

Mama  Bambo my best friend-Nguo yake design by Joha SimbaZainabu
Sihana Jumbe Tambaza
sistaz


Mwanaisha Masanga very cool
mimi je? make-up inaonekana?? au mwaga commentsndio unakamabidhi mwari nini? bt mie namtaka....lol


Beauty & Bishara
nyuso zenye furaha...!!!
Hawa Abbasi Kihago & Friend
Bishara-dress design by Joha Simba


Post a Comment

6 Comments

 1. BIG UP MWANAKONDO umejitahidi mwaya first born wako kapendeza sana kuanzia sendoff,mpaka hapo kapendeza sanaaaaaaa aliye mpamba anajua mpk hao wenyewe makeup kwa mbali tena inayolingana na mwili sio akina mwafulani makeup mpaka wanatisha badala ya kupendeza wanakuwa kama kinyago cha mpapure HONGERA MWANAKOMBO SHUGHULI IMEFANA NA KUPENDEZA SANA MPK MAVAZI YAKO YA KIMATAIFA NAKUFAGILIA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

  ReplyDelete
 2. Shughuli ilipendeza sana, hongereni maharusi. Ila aliyempaka make-up na kumweka lacewig hakumtendea haki bi harusi. Kweye sendoff she looked more natural and beautiful.

  ReplyDelete
 3. HUYU BISHARA NI NANI? ANAONEKANA NI MTU MAARUFU

  ReplyDelete
 4. BI HARUSI AMEPENDEZA SANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!
  SOMO UPO JUU UMEMFUNDA MWALI NA KUMPENDEZESHA SAFI SANA
  ILA BWANA HARUSI KITUKO, HAJAPENDEZA KABISAAAAAAAAAAAA.
  MKANZU MWEUSI KM ANAENDA MSIBANI.
  KWANI BWANA HARUSI HAKUWA NA MTU WA KUMSIMAMIA UPANDE WA MAVAZI JAMANI?
  MBONA BWANA HARUSI KWENYE NDOA ALIPENDEZA SANA.
  YE HAONI KITU CHA BI HARUSI KIMETOKA NDANI YA BOX? (NEW BLAND)

  ReplyDelete
 5. Lace wig ni nzuri kwa mtu mwenye komo kama ww ni flat and short face avoid ila mmependeza sana watu wamependaza ila huyo sijui mama bambo amependeza sn aswa nguo yake ktk wote kila mtu na macho yake lakini

  ReplyDelete
 6. jamani m pambaji ni nani? i fell in love with alivyo pamba viti vya hall .....contact plsssssssssssssssssssss

  ReplyDelete