HIDAYA KAZIRAHABI AFANYA DUA YA KUMUOMBEA MWANAYE , MAREHEMU CHARLE

 Hii ni picha ya ukumbusho ya marehemu CHARLES
 Wanafunzi wa chuo cha magomeni, wakisoma dua

 marafiki wachache na jamaa wakipata barka ya dua Hidaya alitoa sadaka kwa wanafunzi wa chuo
 L: Rehama Twahir, Irean mdogo wa marehemu & friend
 marafiki wa Hidaya Kazirahabi na Khadija Yusuf hapo kati
 Sophia
 Wahida na mwanaye wakiwa na Hidaya

 Faida, Joha & friend
 Dalila, Sophia, Hidaya, Joha & friend
 Hidaya akiwa na mjukuu wake mtoto wa marehemu Charle
 Sophia, Hidaya & Hellen
 Mama Bambo & Joha Simba
 R: Mapendo & friend
 mama Linda
 L: Musne frm Dubai & jamaa


MBELE YAKE MAUTI NYUMA YETU, SISI TULIMPENDA CHARLE LAKINI MUNGU KAMPENDA ZAIDI!!!

Post a Comment

2 Comments

  1. Hidaya, Please accept my heartfelt sympathy on the passing of your son. Hold tight to memories for comfort, our thoughts and prayers are with you.

    From Lina and Tito

    ReplyDelete
  2. samahani da hidaya mbona umemuombea dua ya kiislam wakati yeye ni mkristo je inaswihi?au jina tu hilo naomba unijibu tafadhali.

    ReplyDelete