BABUG BAG PARTY YA UKWEEE, CHEZEA MR & MRS TAMBA (DK)? MAMBO HATARI TUPU!

GROOM::BABUG
VENUE::POLICE OFFICERS MESS

COLOR::BLUE, RED & WHITE

MC::NOORAT
CATERER::TALMA CATERERBonyeza kitufe umuone Dk Tamba akifanya vitu vyake! Wakwe wakiingia ukumbini
MC Noorat wa ukwee
Cake & Champaign 
Hii ilikuwa suprise  cake toka kwa Junior TambaMeza kubwa!!!


Chakula
Jamani chakula la Mariam Twahir ni kinzuri sana!!!

Family Picture
BabuG & Dk. Tambwa nzuri eeh!!

Walinogaje?? man in black halafu linen, chezea Dk wa mjini wa mjini tu hapotezi njia
Zawadi


Rusha roho!!
 Ahmed Mkali
Jokha Kasim
 Kumbe mama Pinda ni mkali wa Kwaito!!!Baba na mama wakienda kukabidhi zawadi
maneno mawili matatu hivi, but kubwa ni kwamba tunakupa zawadi 
kubwa kushinda vitu vyote duniani
Pokea "Masaafu", hakuna jambo lisolowezekana hapa
si unawajua sie kina mama kwa zawadi, mama akaongeza naye
na flat screen na showcase yake

Tunu Pinda akipeleka zawadi yakeTunu akikabidhi feni tuliambiwa kwamba ina AC

Tunu akiwatuznza mama na baba tamba
Mama mkwe akenda toa zawadi yake kwa Babug

Mama Bambo pendeza!

Wanakamati walimpa babu G 150,000/=Tunza
Hapa ndip pale  ninaposema mama tamba alitunza million 8

Marima mntambo akitunza mashuka masafi, si unajua somo eeh!Ushawahi kuona mnzazi anatunza uji? basi mama Tamba aliletewa uji


Nyota na Salma wakitunza mama tambaMariam Twahiti naye alimtunza mama Tamba


Salma mahseen amependazaje?Salma Nyangasa mama wa TBL tupa kule million 2 alimtuma dada yake yeye alikuwa hayuko umeona utu eeh!!


huyu aunty alitunza dollari
NYUSO
Salma Mntambo & Tunu Pinda
RED CARPET


Bado picha nyingine zinakuja


Post a Comment

4 Comments

 1. Congratulation Bishara mungu akulinde kwenye ndoa yako Harusi nzuri sana na watu wote wamependeza mashaalah..Kpeace

  ReplyDelete
 2. Mama Mashughuli, ahsante sana kwa picha nzuri, kweli wanawake wa Tanzania ni warembo sana ila kitu kimoja tu kinatia dosari kwenye urembo nacho ni makeups wanazozitumia. Naomba uwaeleze kama utaweza wapake foundation kutokana na rangi zao, kwani kuna wengine wanapaka rangi tofauti na rangi zao kwenye picha inaonyesha kama vile wamepaka unga. Ni ushauri tu.

  ReplyDelete
 3. Mdau hapo juu nakuunga mkono.
  too much make up humfanya mtu atokee kama kituko hasa akipaka isiyosawa na ngozi yake
  wengine mpaka ukiwaangalia macho yanatoa machozi.

  ReplyDelete
 4. sijapenda huyo mr.Tamba anaonekana ni muislam mzuri sasa kuvaa tasbihi mkononi na huku akipokea pombe maana yake nini mnamchezea M/Mungu kwenye mambo ya marusha roho na mapombe mnamuingiza na M/Mungu hiyo sijaipenda tumcheni M/Mungu ukweli wa kumcha sio kufanya istiizai mbele ya Allah tutakwenda kujibu nini kesho

  ReplyDelete