MZEE & BISHARA WEDDING RECEPTION - ABSOLUTELY BEAUTIFUL

BRIDE::BISHARA
GROOM:MZEE
VENUE::LAMADA
COLOR::YELLOW & GOLD
MC::ANGELA BONDO
CATERER::TALMA CATERER
DECORATION::
MAKE-UP ARTIST: MAXELL KINONDONI
STILL PICTURE:: HAMISI CALL # +255 655 483 182 Note:ukimtumia mpiga picha huyu kwenye shughuli yako utapata picha za kawaida na zilizopangwa kwenye album na pia utapata complementary ya kurushiwa picha za shughuli yako ndani Mashughuli Blog. Veli la Bishara lilinitia wazimu kwa ufupi mimi sikuwa napiga picha siku hiyo hizi picha nimeomba ili niweze kuowanyesha jinsi harusi ilivyokuwa nzuri lakini nilitamani sana ningekuwa na camera nipige picha maana veli ni ya ukweee'e!!!!!

MC-ANGELA BONDO
 

Dk. Tamba aliwaletea maarusi suprise!!
 Huyu ni Mwalimu Mkuu wa shule ya Faradhani, Bishara na Mzee wamesoma shule moja
 Mwalimi akiwapa hongera wanafunzi wake walipendana tokea mwanzo lakini walifuata maadili ya kiafrika na kutimaza malengo yao katika hali inayotakiwa na vitabu vyote vya dini...!!!
 Mwalimu aliwaaita wanafunzi waliosoma Forodhani for picture!
CAKEUsiku huo huo pia ilikuwa anniversary ya ndoa Mr & Mrs Tamba 
nao pia walikata cake
Champaign 

mama Salma Nyangasa fanya vitu kwa somo...!!
 Suprise Nyota Waziri ndio aliowaimbia maarusi ili wafungue mziki, si unajua sauti ya mwanamke huyu mashallah, Bishara & Mzee your so luck, kwani jumamosi mimi namjua bibie huyu asingeimba kabisa..!!! nenda picha hizi...!!
 maarusi wakisikiliza kwa makini kwanza.....!!!
 Dk Tamba & mama wakaja tunza wanao mapesa mambo hapa ni kama Naija pesa nje nje, niliwahi kuudhuria harusi ya msichana wa kitanzani anaolewa na mnaigeria bwana mchezo pesa nje nje!!!
 walimtunza na Nyota!!!
  Familia ya Ally Kitandula & Kihago's wakicheza na Nyota
 
Baada ya kuisikiliza nyimbo ya Nyota Waziri ndio wakaanza kucheza!!!
 wapendanao utafikiri ndio kwanza wameoana...raha tupu!!! Mama na mwana..!!!

SHORTS 
   Nyuso's 
Hapa Dk. Tamba akitoa nasaa kwa wanawe aliongea  neno moja nzito sana...!!!

Nimependa sana pozi ya Mzee kuweka mkono kifuani...!! RED CARPET


Post a Comment

14 Comments

 1. Mashallah Mr & Mrs Tamba. Mmependeza na Mola awazidishie mapenzi.

  ReplyDelete
 2. kwa kweli ni ndefu na nzuri sana mashaallah mungu awape ndoa ya kheri yenye baraka tele awajalie watoto wakike na kiume na awaepushe na mahasidi wa kuvuruga ndoa za watu.

  ReplyDelete
 3. Dada hellen juzi nimekuona morroco wacha nijishauwe kukusalimia kunipotezea sijui ukunisikia nikaona noma na watu nilikuwa nao kwenye gari.ukuona benz nyeusi pembeni yako nikashusha kioo da hellen mmh kimya niliondokaje haraka shosti noumer kuchuniwaa lov u tough ulikuwa umependeza

  ReplyDelete
 4. Mmmmh! jamani sikukuona plse nisamehe, ni kweli nilikuwa morroco but sikukuona kabisa sio tabia yangu, naomba nipigie simu chukua no yangu hapo nimejisikia vibaya sana plse call me now

  ReplyDelete
  Replies
  1. USIFANYE HIVYO DADA YENGU SIO KATIKA ASILI YETU!

   Delete
  2. i understood alikuwa busy kama anasubiri kitu nilijua nilikuwa natakumtingisha dada hellen never mind nilielewa next time ntakugusa maana mawazo yalikuwa mbali

   Delete
 5. Wamependeza mashallah. M/mungu awajalie ndoa njema ya amsikizan na maelewano awape vizazi vyema InshaAalah

  ReplyDelete
 6. Hellen huyo si Mwalimu Farid Saiwaad, alikuwa mwalimu Jamhuri P. S., Kabla hajahamishiwa Forodhani na aliwahi kukaa Tandamti chini nyumba ya kina Maulidi na Amina Kiede. Da amekuwa mtu mzima sana U-check bob na U-handsome wote umemtoka.

  ReplyDelete
  Replies
  1. ndiye mwenyewe,mbona bado anawika kwa age yake...habadiliki

   Delete
 7. Big Up Huyo Bwana Harusi Jina Jingine ni Babuji Huyomwanangu mwenyewe toka 1993 Forodhani Primary School mpaka 1999 Dah sikuhudhuria kutokana na mihangaiko ya Maisha Na B.Harusu a.k.a Emmy Mungu Awajilie Kheri Inshallah.

  ReplyDelete
  Replies
  1. hapa nilikuwa nazani namfanuishara bishara or emmy kweli ndio yy hongereni sana

   Delete
 8. Haya wewe dada uliyekua unatetea makeup ya msilibo hebu ona makeup ya Bi harusi huyu ilivyotulia, smokey eyes ya ukweli sio kusilibana rangi za nyumba machoni!

  ReplyDelete
 9. Bishara u luk good my dear, mungu awajaalie amani kwenye ndoa yenu

  ReplyDelete
 10. Jamani me nilitaka niwafahamu wazazi wa bi harusi maana wamezaa bwana mtoto uso umetulia sio mabiharusi wengine ma cho makali kama tochi ya kwenye machimbo ya madini.

  ReplyDelete