BISHARA- SEND OFF PARTY

BRIDE::BISHARA KIBANGA
VENUE::DIAMOND JUBILEE VIP HALL
COLOR:: RED & GOLD & SILVER
MC::MR. KIBONDE
CATERER::
DECORATION::

 MC


Bishara!!! amependezaje!
 Hair & Make-up Style by Maxell


Familia Y aKitandala wakiwakaribisha wageni waalikwa
Arafa & Dk. Tambs wakitoa neno kwa mkwe mtarajiwaChakula


kushangaa mwisho mara moja, hapa unaosha mikono yako kabla ya kwenda kwenye buffer


Champignie,  Cake & Ndafucheers!!!!!
Bishara akimlisha mama mkubwa - sherry

Muziki
Arafa mkwe & Muhaza wakirusha roho

Surprise toka kwa bibi Bishara 
Jamani hii ndiyo bangali alivishwa na bibi yake!!! kitu MADINI

NYUSO's
Halima & friend


Bibi Bishara

Bibichi & Babu

Mariam Mkweche
Wakwe!!!
Wakwe!
Sharrifa & Mwanakombo ndugu wapendanao!!!
Muhaza!
Hawa!!
Maimuna & Hawa
Sophia Kihago & husband!!!
Kihago's!


Jamila & Friend

Jamila & Mama Bambo pendeza eeh!!Sharrifa & Maimuna
Bishara!!!
Hadia & Friend
Asha & Beauty 

Babies!!!


Mama Mbaga mimi penda wewe sana!!!

Mama na mwana
Bishara na bibis

Happy sisterz
Sharry na Hajary a.k.a mpenda picha

Red Carpet
 One & Only mama wa mashughuli Bongo!!!
Mwanakombo - Mama mzaa chema!!!
 
Sherry - Kama uko kwenye Oscar vile pendeza eeh!
 Hawa


 Mama Bamboo - mi penda wewe sana!! always in style!!

 Sharrifa - mke ya kaka!!!
 Maymuna kama naija vile!!!
  Hajary umependezaje!!
 MOI-Babu Gal...!!! umependezaje


 Mama & Mwana

 Hawa & Hajary Sisterz-Hawa. Muhaza & Asha


 With Broz!
Wajinaz!!

Zoom
 Mum & Daughter - pendeza eeh!!
 Bishara-make-up imetulia sana!
 mpambe wa Bishara! very simple but expensive!
 MOI-hair style by Titanic wa Anta Kamalondo Salon, kinondoni kwa wajanja
piga simu no. +255 655 293 090 make-up by mariam +255 717 399 191, anakufata ulipo, accessories Manzelline Shoppers "The Proof of Quality"


Post a Comment

13 Comments

 1. Mashaalh bi harusi mtarajiwa alipendeza sana sana haswa make-up imetulia,hair style simchezo na nguo ni nzuri sana,family yake walipendeza simchezo......tunasubiri picha zaidi .

  ReplyDelete
 2. Mashaalh bi harusi amependeza sana haswa make-up imetulia,nguo na hair style zimeendana sanaaaaaa,family ya Kihago mko juu mmetisha wapenzi

  ReplyDelete
 3. mbona hizo picha haziji????

  ReplyDelete
 4. mashaalah bishara umependeza mdogo wangu yani kila kitu kimetulia mana wewe pia ni mrembo sana mungu akupe mume wa kheri amina mkae vizuri mpate watoto wakike na wakiume,miss u big time shala,family ya kihago kama kawaida mmpendeza wote mashaalah.love u all.by hemmy de. peru.....

  ReplyDelete
 5. mashaalah bi harusi bishara mdogo wangu umependeza sana yani kila kitu umependeza mana na wewe ni mrembo jamani,mungu akupe mume wa kheri inshaalah.miss u big time.family ya kihago imetulia wote ni warembo mmependeza sana mashaalah.love u all.by hemmy de in peru nimekubali.....

  ReplyDelete
 6. Da Hellen, jamani mbona picha haziji?

  ReplyDelete
 7. thanx sis Hellen nimefurahi sana kuona picha za wazazi wetu thankx again much salamz to all..Kpeace..

  ReplyDelete
 8. WEWE MAMA MASHUGHULI HIYO MAKE UP WALA SIIONI ZAIDI YA LIPSTIK HATA NYWELE NAZO ZIKO KAWAIDA TUU KAMA UMEZICHANA MWENYEWE TUUU.....!

  MKEREKETWA..!

  ReplyDelete
 9. Wewe ambaye unasema hukuona make-up ya mama mashughuli labda macho yako marienge na nywele unataka abane zile style zenu za manzese eeh!! ziongozwe rasta nenda CCRBT wanaondoa kengeza au kapime macho au ndio uzeee pole bibie

  ReplyDelete
 10. labda alitaka apake marangi yenu ya kiswazi ndio uone kapaka make-up mnajiona mnapendeza kumbe mnachekesha. mtu anajipaka mirangi hata hajihurumii achana nao hawajui maana ya make up.

  ReplyDelete
 11. HUO NDIO UKWELI SIO KWAMBA KAMA MACHO YANGU MABOVU NA WALA SIHITAJI KWENDA HUKO CCRBT ILA MAKE UP KAMA HAIONEKANI NISISEME TATIZO SIO KUJIPAKA MARANGI PAKA MAKE UP IONEKANE MWANAMKE...!

  ReplyDelete
 12. Nice Pictures,and you chose the best caterer in town.

  ReplyDelete
 13. wow mashallah mashallah kila mtu alipendeza. mungu amzidishie bi harusi awe na maisha mema katika ndoa yake. ameeen

  ReplyDelete