PICHA CHACHE RED CARPET ZA LUNCH YA FUAD & FATMA

Nawaonjesha RED CARPET kwani napenda sana kukutana watu kama hawa, who pose for camera wakibadilisha style tofauti mambo yalikuwa ni high class.....!!!

 Fadya

Tanisa...!!!

Tanisa Mwaibula
Shumu
Mariam Mntambo
Masha
Nuru Mwene, mama wa Fuad, alibadilisha nguo mara 2 chezea Nuru, ili style ya Naija imshaingia Bongo wewe mwenye shughuli unatakiwa ubadili mpaka mara 3 ni pesa tu..!!
 Hasina-The one & only wife of Awadhi
Dalilah Khalifa
Mariam Mntambo & Mariam Kitandula nguo ya kitenge jamani sina maneno ya kuongea imeshonwa ikatulia, subiri picha yake ya RED Carpet, kwa sbb ziko nje ya uwezo wangu kwa sasa hivi sina picha yake ya RED carpet but baadaye nitawawekea  uone African Touchez! ilivyomkaa huyu dada it was marvellous!!!

Musne-mama wa falme za kiarabu pandeza eeh!!!
Nguo ya Joha Simba ilikuwa nzuri sana maana ilimkaa sawasawa, yeye sikumpiga kabisa picha ya RC, alikuwa busy sana..!!!

Hizi ni nguo chache ambazo zilinikuna bado naendelea kuwaletea "BEST DRESSES OF LUNCH" hiki ni kipengele kipya nguo tano nzuri za shughuli, kwa hiyo ukitoka kwenda kwenye shughuli lazima upendeze. Shughuli ilikuwa pambe na watu pambe kaa mkao wa picha, nawapendaje wadau wangu..!!!Post a Comment

2 Comments

  1. masha-allah watu wote walipendeza but my wifi Fadya na mamiye Nuru walifunika bofu na rangi za ngu zao nzuri na pia hata mishono yao, i do real miss these people.

    ReplyDelete
  2. Kumbe na mie nimo eeenh! Asante Mashughuli naona yellow ilifunika kiasi chake :)

    ReplyDelete