PICHA ZA SHEREHE YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI-SERENA HOTEL TANZANIA, DAR ES SALAAM

Endapo hujatokea hapa wadau utaniwia radhi kwa ni mapenzi yangu kila mtu ajiione ndani ya Mashughuli Blog, Blog ya wote picha ni nyingi sana bonyeza kitufe kuona zaidi!!!

 Hivi ndivo Shamimu alivyotukaribisha...!!!
 Vidude hivi kwa ajili ya kufunga unakotaka wewe! kichwani, shingoni ama mguuni..!! nzuri
 Red Carpet...!!!
 Table Setting
 Stage ya ndani

Konad Stamping Nail wakionyesha jinsi ya kurembesha kucha zao, kwa njia rahisi sana!!!


 Msema chochote - Regina Mlekwa..!!!

BURUDANI
Bi Poza, akitupa ustaarabu wa mwanamke!!! mmh!!!

 Mzee Yusuf - MFALME
 kipenzi cha kaka

 Mr. Dimples!! 
Cheza watu wakicheza kwa raha zao!!! Wana wa Migomigo, wakicheza sebene la taarabu kistaile ile mbaya rehema na kundi lake!!!


 Magomeni Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!, waliniambia nimwambie Shamimu kawafurahisha sana leo!! salaam zimefika
 raha ya taarabu ni kutuza tu!!!! na uoneshe jeuri ya pesa!!!!

 Khadija tulirushaje roho!! mie nilisahau kupiga picha...!!

Hawa ndio waliopewa vyeti vya shukurani kwa kutambua mchango wao!!!

 


 Eve Collection alipata nafasi ya ziada kwa sbb yeye ndiye aliyedesign nguo ya muheshimiwa WaziriMama wa Kiwohede akipokea hundi pamoja na certificate, ikiwa ni mchango kwa ajili ya kituo chake, toka 8020 fashions
FASHION SHOW
Jamani hizi ni khanga tu, madesigner wetu sasa wako juu!!!

Asia Khamsin, hapa umeuza nguo inavyotakiwa

Nyuso's
 Halima & Hajary
 Mish & Friend
 Sherry
 Muhaza
R: Sophy
 Hawa & Ashs


 Mwavita Makamba
 Julie
 Mwami
 Helen & Floxie


 Rozella & Miriam
 Salma Mntambo
 Diva Devota & Friend


 Vero, mama wa Vero Hair Salon
 Wadau...mpendezaje??
Red Carpet 

Kim K.

Rozella & Miriam Aziz, kama kawaida kufunika

Injini ya jiji, mama yetu!!!!

Sisi & Ankal
 
Joyce Kiria - Wanawake Live & Nargis


Mrs Dawood wa ukwee'e, mwingine fake!


Babygal, pendeza eeh!!!

Slyvia of Home Deco, she is very creative mtembelee uone kazi zake mimi nazipenda
Ingia Humu


Vanity Butter Fly
Mama Kijach!!!

Alma & Friend!!

Alma & Mum!!

Rehema na wana wa Migomigo!!!

Mange!!!
Sophia Kihago
Rukia mimi penda wewe sana, Fatma Mwamba zawadi for you dogo langu!!Halima Kamusi uko juu kama mushok vile!!!!
 KWA KARIBU ZAIDI....!!
 Blouse yangu ilidizainiwa na Mbunifu Kiki's Fashions!!!
Swaga hapa ndipo nilipodata nilifanya uchaguzi sana kwani vilikuwa vya kumwaga!!!


 Nywele zangu zimetengenezwa na Titanic nilipata sifa kibao! Haie done by Titanic

Post a Comment

10 Comments

 1. asante anty mashughli tulipendeza sanaaa naona eeeh

  ReplyDelete
 2. Kazi nzuri mama...umenikata kiu ya tukio zima

  ReplyDelete
 3. mama shughuli, hakuna siku nimeenjoy blog yako km leo hd nimewavuta staff wenzangu wote kuangalia blog yako, uko juu mama na nimependa sana hair do yako keep it up

  ReplyDelete
 4. Thanx mama kwa kutuonyesha sura tofauti maana tumechoka kuona sura zile zile kwenye kila blog utadhani kwamba hakuna watu wengine waliokuwepo kwenye shughuli!!! Big up kwa kutuonyesha sura mbalimbali.

  ReplyDelete
 5. Ambaye atakuwa hajaonekana humu tena basi aonde akaoge baharini atoe mkosi, maana tangu nimeanza kuangalia hizi picha saa nzima imepita. Kweli wewe ni mama Shughuli wa Ukweeeee!!

  ReplyDelete
 6. Mama Mashughuli, wanawake tulipendeza sana na pole kwa heka heka maana ulituchukuwa woooooote tukio mwanzo mwisho, na umeona eeeee wanawake tukitaka tunaweza, uko juu mami.
  Wa migo migo nasi tuliwakilisha na kurusha kwa sana maana taarabu ikipigwa shurti mwanamke ujishebedue kidogo na haswa ukijua umelipuka!

  ReplyDelete
 7. wewe ndio mama mashughuli orijino hakuna zaidi yako..umelitendea haki tukio zima na kwa kucover shughuli nakupa pongezi namba 1..
  keep it up

  ReplyDelete
 8. your not bias keep it up we are tired of the same faces every day. good work n keep it up

  ReplyDelete
 9. Thanx dada Mashughuli,Me penda wewe so muchhhhhhhhhh!xoxoxo-Rukia!

  ReplyDelete
 10. wote mliozungumza ni ukweli kabisa mlipendezaje kina mama next time afanye tena kama hivi hivi wanawake na maendeleo wewe ni mama mashughuli wa ukweli

  ReplyDelete