SALAMA KITCHEN PARTY

BRIDE::SALAMA
VENUE::NEW STAR HALL - SINZA KAMANYOLA
COLOR::YELLOW & GREEN, PINK & WHITE
MC::JAMILA KITMTIM
DECORATION::
DESGNIER::


 
Naija wakipamba wanaweka na kijumba mimi napenda sana hiii-big-up mpambajiMC -  JAMILA KITMTIM WA UKWEEE'E
 Shurti kufukiza udi tena mawardi hall linukie...!! ndio style aliyoingia nayo Salama
umemuona? alirusha roho kwa sana!
Tulianza na kumfichua mwali kwanza...!!!
Salama akiwa na somo yake mtoto migomogo!
intro ya familia kama kawa

Nilipenda sana decoration, mpambaji alizingatia uafrika zaidi...!!!

 
 
Zawadi

Cake
keki mfano wa jiko! si unajua mume mapishi na K....!! ndio mafunzo muhimu kwenye K-party!!


Champaign
Bi Amina nakuona umependeza saana mama yangua mashallah!!!

Gea Habib, Sakina & Bi Poza a.k.a bibi Kitchen Party,mpeni kazi aje kuwaelimisha mambo mengi mazuri ya mwanamke!!! unajua mie nasema hivi mama yako au dada zako watakuonea haya alika watu mbalimbali uchukue huku na kule!!!
 
 si mnamkumbuka alikuweko  SERENA womens day!

Mama mzazi akikabidh sanduku, siku hizi mambo yamebadilika naona hakuna sasambusasambu


Sakina akitunza kwa fujo umeona eeh!! wa mjini hao!

 Maanake shurti pazia ziko tayari na poles zake kabisa unajitundikia tu...!


 lazima utambe tenaa


 Salama & Sakina, watu wa MADINI umeyaona eeh!!
 mmh! lazima atakuwa designer na vazi la taifa
 
Sijaelewa Jamila...!!
Rusha Roho!

 Kwaito...!!!Jamila hapa ulikuwa unaonyesha mauno??? maana nakujua

Segere eeh!!
Nyuso

Gea Habib - Leo Tena Clouds Radio
RED CARPET
 
Post a Comment

7 Comments

 1. ng'aring'ari sanaaaa shosti salama,congrats gal

  ReplyDelete
  Replies
  1. hongera sana salama,pendedha wewe

   Delete
 2. Congs Sis...w'all proud of u.

  ReplyDelete
 3. Congratulation!

  ReplyDelete
 4. Mtoto Ng'ari ng'ari, pendeza sanaaa shughuli ya ukwee imekwenda shule!

  ReplyDelete
 5. mbona umetubania kutuwekea picha za harusi shosti

  ReplyDelete