MATEMBEZI YA WOMEN CELEBRATION DAY BONGO

 Waziri wa  Maendeleo Jinsia na Watoto Mh. Sophia Simba akiongoza maandamano
 waliowahi kuzishona poa!!!


 TSB na ujumbe wao, Fursa sawa katika mchakato wa kupata katiba mpya, uimarishaji wa wanawake katika maendeleo
NSSF-Mafao yatolewayo na NSSF ni haki ya kila mwanachama kisheria na hutolewa moja kwa moja kwa mwananacha mwenyewe
Post a Comment

0 Comments