Wastara Bungara - Kitchen Party

BRIDE::Wastara Bungara
VENUE::Kilimanjaro Hall 77 Ground Temeke
COLOR::Orange, Purple, White & Gold
MC::Jamila Kitmtim
CATERER::Nyika Famili
DECORATION::Mama Samira
MUSIC::CLOUDS MEDIA::
BLOG PICTURE:: WANTED of Mashughuli Blog
DESGNIER::1st Dress-Rahma Ismail, 2nd Dress-Doris Mikocheni
Make-Up::Rozana-Mama Natasha BuguruniZawadi za ukwee'e pata picha kamili


unalo la kusema??

Mwali akifichuliwa!Mashostito wakimfichua mwaliWastara akiwa na somo yake akitoa utambulisho wa familia
Cake & Champaign 
Baada ya Wastara kufichuliwa aliotoka na kuingia ukumbini kivingine kabisa, mimi hii mara nyingi naonaga naija....!!! hata 3 bi harusi anabadilisha chezea wenye pesa zao!!!

Wastara aliingizwa na wapambe kwa style ya vipepeo vya kichina


Baada ya kubadilisha nguo ya kitenge alivaa gauni lilidesigniwa na DORIS wa Mikocheni
Baada ya kubadilisha nguo Wastara alikula kwanza ndio yakaanza matunzaji


Kukabidhi Zawadi & Tunza
 
 Bi harusi wastara akigawa zawadi kwa wanakamati kwanza ndio aanze pokea zawadi kwani hili walilofanya ni kubwa!!!! 
 

 Wanakamati na kanga zao!!! imekaa poa

Sasa walianza mashostito kama mnavyoona familia ya Bungara ilivyo kubwa..!! mchezo pesa si kawaida na madollari ndani

 Somo wa ukwee Zainisha akiwapa madada khanga za hongera,subira sinda, grace bungara, shani bungara & Zuhura Bungara

 somo wa ukweee akienda ongeza zawadi kwa mwali
Somo Zainisha Bungara akimwambia mwali wangu pamoja na maujizi yote niliyokupa nina hakika 100% hutorudi basi chukua na hii coffee table
  
Subira & Grace Bungara wakienda toa zawadi yao!

Subira na Grace Bungara wakimkabidhi mdogo wao kitanda sita kwa sita akajigaregaze na mumewe! 
 Shani na Zuhura Bungara wakikabidhi jiko la gesi na umeme
 Shani & Grace katika picha Ashura akikabidhi mifuko ya cement, hii ilikuja ukumbini kama sample tu (5)lakini alikabidhi mifuko 25, mimi hapa penda zawadi zibadilike tutunze mwali aweze pata nyumba inawezekana kabisa chezea wanawake tukitaka yetu hakuna hatuwezaye!!!
 Ziada Bungara akienda kabidhi zawadi yake!
 Umeona mdogo wangu ukajipambeee sio ukizaa tu unajiachia hakuna mwanamke shurti ugae na unikie kama jini...!!! ushawahi sikia harufu ya jini weye??

 Rahisa Masha na Leila wakimkabidhi Washing Machine na kumtunza pesa shosti wao!

 Aunty K & Mama Zuhura wakikabidhi shoe rack 
 baada ya kukabidhi zawadi walimtunza pesa mwali


 Women Group wao walikabidhi tiles si unaona mambo yale ninayosema tubadile mfumo wa zawadi

 sare ilinogaje?? 

 Jamila Kimtitima ndiye MC wa shughuli hii lakini na yeye pia alitunza pesa!!! naona kama unataka tunza gari funguo pembeni


 Sabufa  alitunza feni na pesa laki moja

 Husna Madenge akifanya vitu vyake kwenye mchezo pesa, kama kawaida yake!


 Zamaradi alikabidhi zawadi ya TV showcase ya Flat Screen na pesa!!


 Zainabu & Dida Mnyika wakimpeleka mwali kwenye zawadi yake

 Hii ndio zawadi yako bibie!!! MC Jamilia chezea pesa ehh!!


Burudani
Burudani ilikuwa ya kutosha, maana mastaa kibao waimbaji wa taarabu bibie, Wastara k-party yako funika bomba!!!!
 Bi Hafua, a.k.a kubwa lao

 Wastar akitunza kwa raha zake!!

 watu wakiserebuka!
 akaja Khadija Yusuf!!!

 si unajua nyimbo yake mpya?"sina muda wa kukaa vibarazani na kumdiscuss mtu"

 Bibie mauno yako hongera!!!!
 Hapa nashndwa kusoma picha, au ndio mipasho shosti mbona kaguna?? aaah! ukisikia rusha roho ndio hii

NYUSO

Red Carpet


Post a Comment

8 Comments

 1. Yaani ktk kitchen part zote nilizoona kwenye blog yako hii ndo imependeza ile mbayaaaaaa kuanzia mavazi hadi uvaaji wa watu,nyuso zao zimeonekana vizuri na mak up wameitendea haki,ongera kwa bi harusi, nawe ongera kwa hilo

  ReplyDelete
 2. pendeza sana na nimependa rangi. mno.make up zimetulia sio wengine wanajiharibu nyuso zao. hongera kwa waandaaji.

  ReplyDelete
 3. hongera bi wastara bungallah shuhuli pendeza ile mbaya, mashuhuli umeitea haki ktk kupiga picha

  ReplyDelete
 4. mashalwah , shost imenoga sn hongera kwa waandaagi wote waliofanikisha shuhuli hii pia hogera zako mpiga picha hii imevunja rekodi mpaka wakati huu.nakuombea harusi njema shost mimie A.Y

  ReplyDelete
 5. mmmh funika bovu shoga yangu,,mungu akujaalie kwenye ndoa nyako inshaalah...ilipendeza sanaaa jamani.rafikiyo mamy

  ReplyDelete
 6. hongera shosti,umependeza na zawadi zako za ukwee!!!!!!!!!!!!!midada Asha Mungi wa kongowe

  ReplyDelete
 7. kwa kweli shost umenimaliza uko vizuri.inabidi ukafanyie kazi ile mifuko ya simenti.hongera sanaaaaaaaaaaaaaaaa.mm jack wa Arusha.

  ReplyDelete
 8. Hongera bi wastara na somo mtu(zainisha bungallah)mmependeza ile mbaya.kamavile sio bongo.by ur baby (sophia) kiss love mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

  ReplyDelete