WOMEN CELEBRATION @ TANZANIA INTERNATIONAL CONTAINER TERMINAL SERVICES (TICTS)

Angalizo: Container TerminaL wanawake ni wengi sherehe hizi mwaka ujao ziwe kubwa zaidi na sare mvae, chezea shughuli.....!!!! R: Saada kama sikosei! nice to see you guys!!

 Mrs. Manege, mimi penda wewe sana, you have been very nice mama while i was there you support me from difficult moment i had, May God Bless you & yr family
 Jamani huyu ni Da Lyimo? shimboni mae, miss you a lot! kwa sababu hizi ndio swaga zake!! najau unaendesha pick-up si unajua zile moshi..lol
Jane Kato, mutoto ya Upanga, nakujua unavyopendaga RED LIPSTICK!!!
L: Jane Lema IT Department - uko Juuuuuu!!!

I can see Hindu, Immacuate, Dotto & others jamani nunueni camera nzuri, na womens celebration day 2013 mgeni rasmi mie nakuja kama mama wa mashughuli blog chezea mie! hapo kitengo inshallah M/Mungu atujuaalie uhai!

NENO: When one door is closed, don't you know other is open? 

Post a Comment

1 Comments

  1. Hongereni wanawake wa TICTS, tunategemea makwa ujao kuona mambo makubwa

    ReplyDelete