AFRICA YAOMBOLEZA KIFO CHA " MOVIE STAR" STEVEN KANUMBA

Hizi ni blogs za nchi mbalimbali wanaongelea kifo cha Steven Kanumba, je watanzania tunajua Kanumba alivyoliweka jina la nchi yetu Tanzania juu katika Africa kutokana na utashi wake wa kucheza sinema nzuri zenye mafundisho kwa wakubwa na watoto? basi tutafute kila njia kwa kumuenzi Kanumba na kwa wasanii wenzake basi ni vinzuri mkachukua manzuri yote ya Kanumba na kuyafanyia kazi.

Welcome to Linda Ikeji's BlogThe actress who allegedly caused Steven Kanumba's death
http://www.afrikeo.com/news/338951-the-actress-who-allegedly-caused-steven-kanumba-s-death

chartsad3gif

http://sturvs.com/400828/popular-tanzanian-actor-steven-kanumba-dies/


Afrikafocus.ComOMG! Ghana
Post a Comment

0 Comments