ONJA: HAKIKA, MAULID & LUNCH YA BABY ISMAIL ABDUL MBUYU

 Babu mdogo akimtembeza Ismail kwa waalikwa ili wamfichue..!!
 Mum & Dad of Ismail Abdul Mbuyu
 Si unamjua Mama Salma Mntambo yeye kwake akiguswa tu na nyimbo basi anatunza hachagui wala habagui...!!!
 Shughuli yetu ilianza hivi, hakika asubuhi, yakafuata maulid watu wakala mchana then ikaja live Bend au kinanda, sasa hapa watu wakirusha roho....lol
 Bibi Halima Mbuyu akipeleka zawadi yake...lol ya ukwee'e...lol
 Zawadi zilikuwemo kemkem, hii ni mojawapo....!!
 Miriam & Khadija mama yake Ismail
Shostito Gea, ushungi umekukaa ile mbaya...lol, au ramadhani inanukia...!!

Musne, a.k.a  mama wa Falme za kiarabu Miriam, Dalila & Friend

Post a Comment

0 Comments