HONGERA SHYROSE BHANJI


Hatimaye Shyrose Bhanji amefanikiwa kushinda kiti cha ubunge wa Afrika Mashariki kundi la wanawake, sifa kubwa kwa hapa kwetu ilikuwa ujue kuongea kiingereza fasaha, maana tumemsikia Mh. Mwakyiembe akilalamika wabunge wanaochanguliwa kuwakilisha Tanzania katika hilo bunge wanatia aibu kwa lugha hawachangii chochote kule kwa sbb bunge linaendeshwa kwa kiingrereza. Kwa shyrose nimejifunza vitu vingi sana kwani unaposhindwa usikate tamaa kabisa siku Mungu aliyokupangia inakuja!!!

Post a Comment

0 Comments