LEO 21ST APR, 2012 NI HARUSI YA NOLLYWOOD SUPER STAR - STEPHANIE OKEREKE

 
 Picha ya kwanza ya Stephanie na mumewe, tunasubiri picha zaidi...!!!
Nollywood super star wanasema hivi "Dinner in Lagos, Breakfast in Paris wako tayari kabisa kusherekea harusi ya mwenzao, inategemewa kuwa harusi kubwa ya mwaka, wageni 400 wamealikwa kuhudhuria harusi hiyo leo France


Post a Comment

1 Comments

  1. Jamani hawa wasanii nawakubali, yaani wanajua wanachofanya, wako juu kulikok maelezo. Sithani wana majungu kama hawa wa hapa Bongo? All the besr

    ReplyDelete