MAULID YA MTUME MUHAMMAD (S.W.A)-TANDAMTI KARIAKOO 2012 membership kadi za baraza la maulid mtaa wa Tandamti-Kariakoo

Mzee Sultan & Mzee Nusura

Agahowa & Jaffar Ambari


Haji SundayAbdu Kassongo, Kiba Bude, Ommy, Mohammed Ally Irapo
Carlos Millanzi
Hapa ndio pale Tandamti jumba kuu baada ya kubomolewa kwa kweli tumesikitika sana
Mzee Abdallah Hashim
Retd: Brigadier Simba Waziri Simba

Sheikh Ramadhani AbbasAbdallah Simba & Rasco
Jaffar Mbwana & Friend
Mohamed Ally Irapo, Kassong & Friends
Ally Captain, Hafidhi Kocha, Capadona & Shea


Kibabude, Jaffary, Sadala Mbeyu, Kiba Bude & Mustapha Matata
Kanali wanakamati hao
Seleman, Mzee & Friend


Wanawake
umeona eeh dira zilivyonoga..!!

Dalila, Joha & HapsaHapsa
Isabela


Hawena
Tatu Lumelenzi
Bibie Lumelenzi 
mwali wake Bijoha kulia jina limenitoka
Tuma Fancy

Salma Tewa
Kumbe hiz swaga zinawezekana hata kwenye hijab
Shadia & Salma mabest hao!!!!
Mum
Bi Fatu

Mariam Twahir


Pacha wa kwanza huyu...!!!
Pacha wa pili, majina yananichanganya sijui yupi ndio yupi..!!!
Mwanaidi Ramadhani
Barka ikiandaaliwa na vijana wa tandamti inapendeza sana, ombi lao kwao ni kwa wale wanatandamti walio nje ya nchi waungane pamoja katika kufanya maulid..!!

Vijana wa Tandamti walituandalia Pilau la Basmat na nyama ya kukaanga!!! jamani sometime diet inakuwa ngumu kweli kweli, pishi anaitwa Rama na nyama ya kukaanga nimesikia ni kijana mmoja toka falme za uarabuni....Lol

Baadhi ya wanakamati wa baraza la maulid Tandamti katika picha 

Post a Comment

6 Comments

 1. safi sana kwa kweli imependeza na wamama wamependeza sana

  ReplyDelete
 2. jamani da helen asante sana kwa picha nimeona watu kibao na sheikh uwesu enzi zetu abbassiya si mikwaju hiyo hahaha namiss big time.

  ReplyDelete
 3. Inaelekea maulidi hii ilikuwa nzuri. Hongereni waandaji mmejitahidi

  ReplyDelete
 4. safi sana wakazi wa tandamti na kariakoo kwa ujumla mmefanya mambo makubwa sanaaaa

  ReplyDelete
 5. Mashughli blog iko juuuu!sambamba na mawingu!!!Lakini leo sijafurahi saana kupitiliza,kwa kuwa hukuniletea katv!!!Inaonyesha mama Mashughli wewe ni wa mitaani,,maana unajuwa watu wengi wewe!!!Ma'ansha'Allah,,Hivi jina yako Unaitwa Helen?Kuuliza si ujinga nataka nijuwe!
  wanatandamti,umesema wanataka waungane na wanatandamti walioko nje ya nchi kufanya Maulid,kivipi!Hiyo Maulidi au kuna nyingine inaandaliwa?
  Mwenyezi Mungu akuzidishie zaidi na zaidi kwa kazi yako nzuri sana!
  Ahsante!Ubarikiwe mno mno!,,
  Wewe ni mfano mzuri wa kuigwa
  Ahlam...London

  ReplyDelete
 6. hongera helen kwa jitihada zako za kuweka picha za maulid za wana wa zone one.hongereni ishallah m/mungu akuujaalie zaidi mambo yako yafunguke.maana tunafarijika kuwaona watu tuliopotena nao siku nyingi.thanx

  ReplyDelete