MISS WORLD AFRICA 2005-NANCY SUMARI & PARTNER WASHEREKEA 1ST BIRTHDAY YA MTOTO WAO ZURI

Ndio ni yule yule Nancy Sumari aliyeiletea Tanzania heshima kubwa ambayo mpaka sasa hakuna mlimbwende ambaye ameweza kuifuta sifa hiyo na kuweka rekodi mpya, mimi nampenda sana Nacy Sumari!!! she is very cool gal..!! washarekea 1st birthday ya mtoto wao Baby Zuri...!! Congratulations our Miss World Africa 2005, nakumbuka huo mwaka tulivyoshangilia kwenye luninga alivyotajwa kuwa Miss Word Africa 2005!!!!

Post a Comment

1 Comments

  1. looking good!nimeipenda cake naomba please atuambie ametengenezea wapi hzo cup cake nasi tuwawekee watoto wetu!

    ReplyDelete