NEW COUPLES IN TOWN-BICCO & JOYCE RECEPTION WEDDING

BRIDE           ::JOYCE
GROOM        ::BICCO
VENUE          ::CASA HALL
COLOR          ::TANGERINE, WHITE BROWN

 Joyce & Bicco


Kulikuwa  souvenir za kutosha 
Sweets
Key Holder
Cake

maarusi walikata keki huku champaign  zikifunguliwa kwa pamoja
Maarusi wakikata keki kwa pamoja
 wakilishana kama ishara ya upendo..!!!

champaign kwa ajili ya kuwatakia maisha manzuri na yenye upendo na furaha 
Elizabeth, Linda, Fanny & Yusuf - cheers!!!!!

Muziki
 Maarusi wetu wakifungua mziki

Baada ya hapo kwaito ya nguvu si unaelewa..!!!


Hawa walinivutia sana naona kama vile wana darasa maana wanacheza kwaito na manjonjo fulani hivi!!! by the way nafikiri nimebaki mie tu kujua kucheza!!!

Zawadi
Bicco kimila walimkabidhi panga & rungu kwa ajili ya ulinza na kiroho alipewa bible!!!

Wafanyakazi wenzake Bicco tukipeleka zawadi yake..!!!
 kama unavyojua lazima twende na sebene, na kila mmoja aonyeshe ufundi wake wa kucheza sebene, hapa ni Isaelly..!!
 Fanny akimpongeza Bicco
 Yusuf, Elizabeth pia walimpa mkono wa Hongera...!!!
  myself nikitoa zile za tazara enzi zile!!!!
 Neema & Mage 
 MOI-akitoa neno kidogo kabla ya kukabidhi risiti ya washing machine pale GAMES mlimani ili wakiwa tayari wakachukue..!!!
Nikikabidhi risiti pamoja na card toka ofisini.
NYUSO
 Fanny, Vianey & Yusuf
 Mum & Daughter, Linda you are so cute!!!!
 New couples in town - Mr & Mrs Wilson
 Mr. Chuma...!!! Isaelly...!!!
 Liz, Fanny & Hellen
 MOI & maarusi..!!!
 Happy people..!! Fanny & Vianey's wife
 Neema & Mage...vipi mage ushapanda mlima naona macho...!!!

RED CARPET
  Founder & Owner of Mashughuli Blog!!!

SWAGA

Kutoka CASA HALL Mikocheni, ni mimi mama wa mashughuli aunty HellenPost a Comment

14 Comments

 1. FOR THE FIRST TIME I SEE TANZANIAN WOMEN LOOKING BEAUTIFUL WITHOUT TOO MUCH MAKEUP AND MKOROGO

  ReplyDelete
 2. linda mashaallah

  ReplyDelete
 3. Anon juu hii inaelekea ni ya wasomi na jwatu wenye maendeleo sio zile za kushindana mazawadi manguo mazitoooo hii nimepeta simple and cool

  ReplyDelete
 4. hii harusi bila shaka ya watu wastaarabu nice and cool siyo zile za waswazi mikorogo, mamakeup km majini na mazawadi yakushindana wakati hadhi zao sizo

  ReplyDelete
 5. Duh Bicco long tyme kitambo enzi za Njombe seconday hongera bro.

  ReplyDelete
 6. pendeza saanaaaaaaa aunty hellen,pamoja na maharusi mungu awazidishie upendo daima.

  ReplyDelete
 7. Yani umependeza balaa sio siri.Uwe una vaa that way.U look young as well. Hongera maharusi

  ReplyDelete
 8. Wamependeza maharusi, ushauri kwa wengine, iwapo bi harusi unamzidi sana urefu bwana harusi basi uvae flat shoes, kwa sababu ukivaa viatu vyenye urefu kidogo tu utaonekana umrefu sana, kwani viatu virefu kazi yake ni kutuongezea urefu. Ikiwa bwana harusi ni mrefu na wewe bi harusi mfupi, basi vaa viatu virefu ili angalau kidogo mlingane urefu. Ni hayo tu otherwise maharusi na wageni waalikwa wote mlipendeza.

  ReplyDelete
 9. Mama Mashughuli umependeza!!

  ReplyDelete
 10. i love the Photo's but there is not one single family member in the photo's of my uncle's wedding.. why??

  ReplyDelete
 11. i love the photo's, but there is not a single photo of my family members. my uncle and his wife look stunning though. just wish i could be able to see the rest of the family

  ReplyDelete
 12. Wow wow wow! Uncle B and wife, you guys were stunning! Beautiful wedding pics!

  Yvonne-

  ReplyDelete
 13. Hellen u really rocked sana mi kagauni hako tu maharusi simple and nice Mungu hawatangulie

  ReplyDelete
 14. Hongereni sana Bicco na Joyce, tunawaombea heri na baraka siku zote za maisha yenu ya ndoa. Furaha na upendo vitawale...Bicco you're such a friend,keep it up!

  ReplyDelete