SALMA KITCHEN PARTY

BRIDE           ::SALMA
VENUE          ::MANGO HALL
COLOR         ::COLOURFULL!!!
MC                 ::SALMA - NY PRODUCTION
CATERER    ::SHARRIFA KAVU
DECORATION::NY PRODUCTION
CAKE              ::NY PRODUCTION


Alianza khadija kwa kutukaribisha wageni wote!!!
 MC- Salma Director NY Production


 Salma akitoa utambulisho wa familia
 Champaign 
Cake 
Mfano wa jiko lenye sufuria iliyofunikwa na mwiko
 


 Mama mzazi alianza kulishwa kipande cha cake
 odo hadija akilishwa keki
 
Cheza...!!!
Bi Salma akirusha roho...!!Khadija akicheza...pendeza eeh!!!


 
Shoga wa bi harusi hizi ni raha kupita kiasi......binua dada hawakujui eeh!!

 
Mariam Jongoo unapenda binua binua weye!!!!
Zawadi na kutunzana hiyooooo!!!

 

 Alianza mama na kapu lake si unajua vit vya jikoni...!!
 Picha ya pamoja Salma na mama wadogo waliomsindikiza mama mzazi

 Naye Salma akasema lazima nimpe mama yangu zawadi kwa nilichojaliwa na M/Mungu...!! akamtunza mama yake khanga yenye maneno manzuri sana..!!


 Mariam Jongo akimtunza shosti wake dressing Table kwa fujooooo!! mie hapa nilikuwa naangalia mkia tu
 


 Kalia kiti bibi watu wakuonyeshe wao kina nani
 Alianza Jane... kumtunza shosti

Akaja Aisha Mtengeti na rafiki zake wakimtunza Hadija, kwa wale wanaomjua Aisha si unajua vile anatamba???

Wanakamati wakitunza zawadi ya Kabati ndilo lililoweza fika ukumbini maana siku hii ni ile ambayo tuliambiwa tsunami inakuja Indian Ocean na mvua ilinyesha kubwa sana hata shosti Hadija watu wamekuunga mkono kweli maana utafikiri
Nyuso

Kaneka na Aisha Mtengeti
Mashostito walioshibana umeona eeh!!!


Red Carpet
Salma wa NY Production MC
 
Mage umependezaje??? mshono mie nautaka nitaenda kwa Rozella..!!!


Farida
Ashley kwa raha zetu tunarusha roho kukicha salama zake bidada!!!!
Kaneka umenogaje shosti...!!!Kwa nyuma je...!!!
mshono huo umeupenda chukua style...!!!
Post a Comment

0 Comments