STEPHANIE OKEREKE & LOUIS WEDDING PICTURES

TUXEDO SUIT

 Hii ni hatari umeona hiyo nguo!!!! 
 Genevieve Nanji 
Umemuona bibie,  light make up, very little accessories...a typical example of ”less is more” je hapa kwetu tunajua huu usemi wa "less is more"?? inabidi tuufanyie kazi..!!!

CHAMBUA CHAMBUA
Hapa mdau utapata muda wa kusifia na kukosoa kistaarabu kwa kutuma comments  ni wakati sasa tuelezane kuhusu mavazi, make-up & kichwani ili tuelekezane jinsi ya kuvaa!!! tuma comments mara moja utaiona hewani!! mimi nimeanza hivyo.....!!! chambua chambua ya kwanza ni ya"LWIZA MBUTU"
 Movie Star wa Naija - katikati Liz Benson, hatimaye kaonekana baada ya muda mrefu, Ini Edo nguo yake sijaielewa bado kaonekana mnene au is she pregnancy? kwa sasa hivi amepungua sana, Liz Benson huyu mama ni mnzuri sana but hilo wig kichwani naona kama limemzidia vile
Umeona hiyo veli


umecheki hicho kibandiko?


PICTURES THANKS TO LINDAIKEJI BLOG

Post a Comment

5 Comments

 1. ni kwlei mashughuli hilo wigi la Liz Benson limemfanya aonekane mkubwa zaidi na mzee kwa sababu ni la kidada na yeye ni mtu mzima sasa tena mwenye umri sasa akivaa hilo wigi anazidi kuonekana kaboronga hata nguo yake ya thamani hainekani kila mtu atabaki kumshangaa na manywele yake mengi usoni na kichwani

  ReplyDelete
 2. most Tanzanians who are from low living standard always want to show off as through make-ups and even clothings..as a result they end up being off the show.. i agree 'less is more' as we can see in most well-off people's weddings like this Sophia's wedding she looks simple and very very beautiful even the guests look gorgeous but if it was a wedding of some Magomeni girls or 'wanting to showw off' women they could have complicated it and done the worst on make ups..
  this is a very good lesson to Tanzanians and all ladies that make-up and how you dress for any occassion matters a lot

  ReplyDelete
 3. chambua chambua ya pili iendekwa Isha Mashauzi..im her great fan but mmmhh!!! yale
  ma makeup ya rangi rangi usoni yamezidi...plus nguo zinamwacha wazi sana kifuani. yule ni mtu mzima sasa + ni kioo cha jamii, anatakiwa avae nguo inayo mstiri kifuani jamani...

  ReplyDelete
  Replies
  1. hata mimi nakuunga mkono kuhusu mavazi ya isha mashauzi ,ila umri wake sio mkumbwa kama unavyosema mtu mzima ni mdogo sana yule ila umbo lake ndio kubwa, chambua chambua nyingine ni sauda mwilima na dida loh wanawake wanajirundika ma makeup mpaka aibu ,punguzeni makeup.

   Delete
 4. Jamani hawa wenzetu wana class fullstop! kila kitu to the point.
  Hivi bwana harusi naye ni Muiigizaji?
  Nadhani Ini iddo ni mjamzito, but she looks sweet

  ReplyDelete